Search results

  1. Mkolosai2020

    Bank imeuza dhamana(gari) bila kumpa taarifa mmiliki

    Mikataba ndio ina haki za pande zote mbili kawaida ukikiuka mkataba kinachofuatia ni hicho kilichotendeka. Mf. "Mkopo usipolipwa ndani ya siku husika basi dhamana iliyowekwa itauzwa bila taarifa zaidi kwako kwaajili ya kufudia mkopo na gharama zote zilizoongezeka." Angesoma vizuri mkataba kabla...
  2. Mkolosai2020

    Maoni Binafsi: Mzee Wassira alipaswa kuwa Rais wa hii nchi

    Ausio? Una kitu utafika mbali kwenye safari yako ya kisiasa
  3. Mkolosai2020

    Elimu na kujitambua

    Tabia za kasuku ni kurudia kile kimesemwa lakini haelewi maana yake na hakumbuki tenakuwa amesema nini
  4. Mkolosai2020

    Elimu na kujitambua

    Kabisa, wasomi kwa sasa ni title tu siyo ELIMU
  5. Mkolosai2020

    Elimu na kujitambua

    Ila dhana ya EDUCATION FOR SELF RELIANCE aliomdoka nayo Nyerere
  6. Mkolosai2020

    Elimu na kujitambua

    Miaka ya hivi karibuni hususani miaka ya kuanzia 2010 mpaka sasa kumekuwa na utamaduni wa kusifia sana wakuu wa nchi badala ya kuleta hoja zitakazo ibua sifa au kuelezea utendaji kazi halisi wa hawa watawala ama viongozi. Binafsi nikijaribu kuangalia historia ya nchi yetu (TANZANIA) naona kama...
  7. Mkolosai2020

    Mapinduzi ya kilimo

    Huu ni mfumo shirikishi wa teknolojia ya kilimo kati ya wakulima na maafisa ugani. Yaani mkilima anajua nini na afisa ugani anajua nini, kabla ya innovation mpya
  8. Mkolosai2020

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    [emoji848][emoji848][emoji848]
  9. Mkolosai2020

    Naomba sample nzuri ya cover letter

    Shukrani sana mkuu hii imenisaidia sana
  10. Mkolosai2020

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    [emoji39][emoji39][emoji39] kwahiyo ulikula kima sikhara na ukaona hii imeenda ukairasimisha kabisa
  11. Mkolosai2020

    Kisa cha Kweli: Sitasahau nilivyopendwa na mchawi nikaishia kurogwa

    Habari wakuu mbona story imeishia njiani? Au ndio mwisho?????
  12. Mkolosai2020

    Mikasa ya kusikitisha ya rafiki zangu iliyowahi kunisikitisha sana

    Hongera kwa simulizi, hongera kwa funzo ulilolitoa. Japo mengine hujataka kutusimulia kutokana na mhusika kutotaka kusimulia zaidi. Haya mambo yapo kila mahali sema tu huwa tunalindana kusema
  13. Mkolosai2020

    Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

    Sasa hapo kakosea kusema hivyo, kwani habari ya wokovu haiendani na maisha halisi tunayoishi
  14. Mkolosai2020

    Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

    Tatizo lilianzia usimamizi wa katiba, kumbe sheria ipo ya muda mrefu
  15. Mkolosai2020

    Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

    Hapa ujue hiki kitu watu wanakipiga vita sana
  16. Mkolosai2020

    Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

    WAAMINI WAASWA KUBOREHSA MALEZI ILI KUKOMESHA USHOGA NA USAGAJI. Wakristo wakatoliki duniani leo tarehe 02/04/2023 wameadhimisha sikukuu ya matawi ikiwa ni mwanzo wa wiki ya kumbukumbu ya mateso ya Bwana wetu Yesu Kristo (juma takatifu), sambamba na hili waamini wa kanisa katoliki jimboni Njombe...
  17. Mkolosai2020

    Mapinduzi ya kilimo

    Huu ni mtazamo tu
  18. Mkolosai2020

    Mapinduzi ya kilimo

    Kilimo ni sekta moja mihumu na chimbuko la sekta nyingine zote, kilimo huzifanya sekta nyingine kuwa endelevu endapo kina kuwa hai na endelevu. Vijana tunashindwa kuimudu sekta ya kilimo kutokana na sera mbovu zisizo rafiki katika uendelevu, sera nyingi hulenga kwa kipindi fulani na kwa lengo...
  19. Mkolosai2020

    Naomba sample nzuri ya cover letter

    Wadau wanazingua hakuna aliyenipa mrejesho mzuri
Back
Top Bottom