Search results

  1. grand millenial

    Dkt. Sule: Kutumia Majini kupata Mali si dhambi/ haramu

    Alirongwa ndiyo na myahudi aliyejulikana kama Ibn A'sam al-Yahudl aliyekuwa anatokea kabila wa banu zurayqa, na ndiyo sababu zikashuka sura tatu za mwisho kwenye mushaf (surat-nas, falaq na ikhlas). Ushahidi ni hadithi hii hapa Hadith "حَدَّثَنَا إِبْرَاهِيمُ بْنُ مُوسَى، أَخْبَرَنَا عِيسَى...
  2. grand millenial

    Dkt. Sule: Kutumia Majini kupata Mali si dhambi/ haramu

    Katika kumdhuru Allah(subhana huwataala) hakuna idadi i.e sunna ila kwa yale ambayo ameyafaradhisha mfano swala za faradhi ni lazima ziswaliwe kwa idadi yake bila kupunguza au kuzidisha , funga ya ramadhani zitafungwa kulingana na idadi yake ikifuata kuchomoza kwa mwezi mpya, zakatul fitr ina...
  3. grand millenial

    Dkt. Sule: Kutumia Majini kupata Mali si dhambi/ haramu

    Late reply inshaallah nitakujibu kwa dalili na kwa kadiri nitakavyo afikishwa na ningependa na wewe utoe dalili mkuuu hivi tutaenda vizuri maana dini yetu hii ni qal allahu , qala rasulu na si nje ya hapo. Ok umeuliza maswali mawili na nitayajibu kama ifuatavyo. 1. Namaanisha nini ninaposema...
  4. grand millenial

    Dkt. Sule: Kutumia Majini kupata Mali si dhambi/ haramu

    Thibitisha kwamba nimemeza itikadi labda nikuukize swali kwa mfano mtu akaenda kwenye hayo mashimo yenye madini na akasoma surat kawthar mara 1 kisha akaingia kwenye mashimo je? Hatotoka na mali? NA kuhusu ruqya nafahamu vizuri kwamba si kwa sababu ya kutolea mashaitan ruqya ina matumizi mengi...
  5. grand millenial

    Dkt. Sule: Kutumia Majini kupata Mali si dhambi/ haramu

    Mkuu nilishakujibu juu huko jaribu kureje baadhi ya quotes zangu nabii sulaiman (alayhi salaam) alimuomba Allah(subhana huwataala) ampatir ufalme ambao hatokuja kumpatia yeyote baada yake na Allah (subhana huwataala) akampati ufalme wa dunia nzima na akapewa uwezo wa kuongea na viumbe mfano...
  6. grand millenial

    Dkt. Sule: Kutumia Majini kupata Mali si dhambi/ haramu

    Kama ni suala la kumuomba Allah(the almighty) akukinge na hila za mashaitan ni swahihi , samahani kama sikuelewa nini ulimaanisha . Ila kuhusu surat kawthar mara 1000 wacha nifuatilie zaidi. ALLAHU A'LAM.
  7. grand millenial

    Dkt. Sule: Kutumia Majini kupata Mali si dhambi/ haramu

    Kusoma surat kauthar mara 1000 imethibiti wapi? Je kuna aya yoyote? Je kuna hadith inayoongelea hilo? Je kuna riwaya yoyote imenukuu hiyo dua? Anayetoa ni Allah(the almighty) na kinga ni ndogo tu very simple. 1. Kama ulikuwa haufanyi ibada basi rejea kwa Allah(the almighty) anza kusali . 2...
  8. grand millenial

    Dkt. Sule: Kutumia Majini kupata Mali si dhambi/ haramu

    Si kila mwanawachuoni ni wa kumfuata narudia tena watu tusome kwa misingi ya salafi swaleh ili tuweze kuielewa dini kama ambavyo inatakikana . Kuwanyenyekeza kwa minajili ipi? Mtume alishindwa kuwanyenyekeza ili awatumie kwenye vita vyoote alivyopigana? Jibu ni hakushindwa ila alifanya nini...
  9. grand millenial

    Dkt. Sule: Kutumia Majini kupata Mali si dhambi/ haramu

    Kama unaamisha kuyaamuru yatoke kwenye mwili wa mtu kwa amri ya Allah( the almighty) i.e ruqya ni sahihi kinyume na hapo ni SHIRKI .
  10. grand millenial

    Dkt. Sule: Kutumia Majini kupata Mali si dhambi/ haramu

    Msingi upi ? Umesoma surat sad aya ya 35 mpaka ya 37? Na je? Hiyo elimu unayoongelea wewe Mtume muhammad (peace be upon him) aliwahi kuielezea popote? Je alifundisha du'a ya kuyaita majini? Je umesoma surat jini aya ya 6? Elimu yako unaitolea wapi mkuu ? Au unafuata tu mkumbo ? Allah( the...
  11. grand millenial

    Dkt. Sule: Kutumia Majini kupata Mali si dhambi/ haramu

    Hakuna sehemu nimemdharau kama ipo unaweza kuonesha kila neno langu nimeweka na dalili na ningependa uweke pia . Kingine kuhifadhi quran anayepanga ni Allah (the almighty) kuna waarabu licha ya kuzaliwa wakiwa na uwepesi wa lugha ila hawajahifadhi quran lakini pia alhamdulillah kuna wasio...
  12. grand millenial

    Dkt. Sule: Kutumia Majini kupata Mali si dhambi/ haramu

    Mwanazuoni ? nani alimpa title ya mwanazuoni ? Alisomea chuo gani kinachojulikana duniani kwa elimu ya dini ya kiislamu? University of madina?, dammaj ? Al azhar ? E.t.c Kingine uislamu unaenda kwa dalili na dalili tunazipata kutoka kwenye quran na sunna pekee nje ya hapo ni uzushi, kikawaida...
  13. grand millenial

    Uingereza: Mwalimu afungwa kwa kukutwa na hatia ya kufanya mapenzi na Wanafunzi wake

    Depending on the state nadhani state 31 kwa marekani, age of consent ni 16 na nyingine wameenda mbali kabisa kwamba huyo wa miaka 16 anatakiwa a consent na mtu asiyemzidi zaidi ya miaka 5 zaidi ya hapo inakuwa ruled under statutory rape.
  14. grand millenial

    Tetesi: Makampuni ya simu kutoa GB 10 kama kufidia hasara na kuomba radhi kwa watumiaji wa mitandao ya simu

    Halotel leo wameweka mambo sawa ila bado sijapata meseji ya hizo 10GB mkuu
  15. grand millenial

    Mabilioni ya mababu zetu waliofariki kabla ya kuletewa Uislam kwasasa Wapo Motoni au peponi?

    Kitu gani au sifa zipi zinaifanya religion iwe "PERFECT"?
  16. grand millenial

    Mabilioni ya mababu zetu waliofariki kabla ya kuletewa Uislam kwasasa Wapo Motoni au peponi?

    Umeuliza swali zuri na tayari swali hili lilikwisha jibiwa na mtume wetu muhammad (peace be upon him) inshaallah nitajitahidi kulijibu kwa kadiri nitakavyo afikishwa . amaba'ad Kwanza nianze ni ufunguzi wa surat isra aya ya 15 Allah(the almighty anasema) Al-Isra' 17:15 مَّنِ ٱهْتَدَىٰ...
Back
Top Bottom