Dkt. Sule: Kutumia Majini kupata Mali si dhambi/ haramu

Aisee...Sasa hii imekomaa sana,hadi sisi wengine tunaihusisha Dini ya Kiislam na hao viumbe ...kuwa Wana undugu! Sasa mbona huwa halikemewi Kwa nguvu! Kama anavyokemewa Nguruwe!?
Yanakemewa mkuu wangu, wanaokaa madarasani kusoma wanajua fika kuhusu hilo, isipokuwa waislamu wengi wamezisalitisha nafsi zao kwenye upotevu, na wanapenda hizo story za majini na kuombewa dua za mchongo mambo yakae sawa, kuagizwa ubani na udi karaha au ubani makkah sijui na mishumaa ya rangi rangi ili shekhe afanye yake, hivyo hata ukiwaambiwa haya ni kinyume na dini yenu wanakuita extremist, na hao ndio washirikina kwa haki kabisa.
 
Suleiman mwenyewe aliwatumia majini kwa kazi zake tena wazi wazi alipouliza majini na watu kipindi anataka wamletee kiti cha malkia wa Sheba ndio jini mmoja akajitokeza akasema atakileta kwa muda kabla ya kukaa akagoma akaja mwenye elimu zaidi ambaye ni binadam kwa muda kupesa jicho mara moja Nabii akamwambia akilete
Mkuu nilishakujibu juu huko jaribu kureje baadhi ya quotes zangu nabii sulaiman (alayhi salaam) alimuomba Allah(subhana huwataala) ampatir ufalme ambao hatokuja kumpatia yeyote baada yake na Allah (subhana huwataala) akampati ufalme wa dunia nzima na akapewa uwezo wa kuongea na viumbe mfano ndege , akaweza hata kumsikia mdudu chungu na akawa khalifa wa binadamu na majini kama Allah(subhana huwataala ) anavyotujuza katika sura hii hapa.

Sad 38:35

قَالَ رَبِّ ٱغْفِرْ لِى وَهَبْ لِى مُلْكًا لَّا يَنۢبَغِى لِأَحَدٍ مِّنۢ بَعْدِىٓۖ إِنَّكَ أَنتَ ٱلْوَهَّابُ

Swahili - Ali Muhsin Al-Barwani

Akasema: Mola wangu Mlezi! Nisamehe na unipe ufalme usio mwelekea yeyote baada yangu. Hakika Wewe ndiye Mpaji.

English - Tafsir Ibn Kathir (Abridged)

Get Quran App: Al Quran - Tafsir & By Word

#GreentechApp
 
Mkuu unaonekana umemeza itikadi ila sio kuelewa misingi yake.
Kumbuka katika Qur'an kuna ayah zinazosema Qur'an ni tiba na ni duah.
Kuna surah katika Qur'an ukizisoma basi unafungua milango ya rizki na kujilinda dhidi ya mabalaa.
Mathalan surah za kufungua milango ya rizki.
1)Suratul kawthar.
2)Suratul inshirah.
3)suratul dhwuhaa.
4)suratul yasiin.
5)suratul qahfi.
Zipo nyingi tu.
Embu kasome tafsir Qur'an pamoja na asbaabul nuzul ya kila ayah.
Utagundua katika kila surah kuna hikma yake.
Naona hili kaka hulijui.
Au unavyojua wewe ruqyah ni kwaajili ya kutoa mapepo tu???
Kasome maana ya kisomo cha ruqyah ujue.
Na katika kumuomba Allah hakuna idadi.
Hata usome mara 10000 ni haula zaidi.
Thibitisha kwamba nimemeza itikadi labda nikuukize swali kwa mfano mtu akaenda kwenye hayo mashimo yenye madini na akasoma surat kawthar mara 1 kisha akaingia kwenye mashimo je? Hatotoka na mali?

NA kuhusu ruqya nafahamu vizuri kwamba si kwa sababu ya kutolea mashaitan ruqya ina matumizi mengi kwa muislamu bali haishauriwi kuifuata una shida zako kumuomba Allah(subhana huwataala ) ukiwa mwenyewe i.e qiyam layl ni vizuri zaidi ya ruqya maana miongoni mwa watu 70,000 wale watakaoingia peponi bila ya hesabu ni wale ambao hawakuifuata ruqya (ruqya ni aya na du'a mbali mbali katika misingi ya ki sunna na si uchawi).

Ishu yangu ni kwanini mara 1000? Na nani aliweka mara hizo 1000? Labda ulete dalili kutoka kwenye quran au sunna ili tuelewane .
 
Mizimu kila mtu anayo, tunachotofautiana ni unamizimu ya aina gani? Ipo mizimu ya kimasikini, mizimu ya maradhi, mizimu ya kuvuruga mahusiano mizimu ya utambuzi , mizimu ya kichawi , mizimu ya utajiri n.k

Hao ulio wataja wana mizimu ya utambuzi mizimu ya kiganga kwenye watu elfu 30 unaweza kupata wawili au watatu tu.
Tupe elimu zaidi
 
Mahubiri ya kuhusudu majini au ushirikina wa kisasa ni ishara ya kiama kimekaribia kuliko tunavyoweza kufikiria! Hawa majini au vifaa vya upako.

Tutasikia na kuona mengi nyakati hizi za mwisho wa dunia kama ilivyo tabiriwa kwenye vitabu vitakatifu.
 
Kwa kufuatilia michango kwenye Uzi huu na sehemu zingine nimegundua si Wasiokuwa Waislam tu (Wakristo) bali hata Waislam baadhi yao (wengi tu) hawaujui Uislam, ila kwa masikitiko makubwa wapo mbele mbele kuusemea Uislam.

Kwa mfano juu hapo kuna mchangiaji moja (Muislam) anatoa dalili kufaa kuwatumia majini Kwa kuegemea Aya zinazo elezea habari ya Nabii Suleiman, Sasa ikiwa Muislam yupo ktk hali hii vipi asiyekuwa Muislam!

USHAURI: Waislam tusome Dini yetu tuache ujanja ujanja, tena tusome Kwa wenye elimu Sahihi, yaani misingi ya Elimu iwe ni Qur'an na Sunna za Mtume wetu (Swala na salamu zimfikie) tena Kwa UFAHAMU WA WEMA WALIOTANGULIA, Kuna msemaji anasema "Hakika elimu hii ni Dini ( Dini ya Kiislam) basi angalieni ni wapi mnachukua Elimu yenu"
 
Thibitisha kwamba nimemeza itikadi labda nikuukize swali kwa mfano mtu akaenda kwenye hayo mashimo yenye madini na akasoma surat kawthar mara 1 kisha akaingia kwenye mashimo je? Hatotoka na mali?

NA kuhusu ruqya nafahamu vizuri kwamba si kwa sababu ya kutolea mashaitan ruqya ina matumizi mengi kwa muislamu bali haishauriwi kuifuata una shida zako kumuomba Allah(subhana huwataala ) ukiwa mwenyewe i.e qiyam layl ni vizuri zaidi ya ruqya maana miongoni mwa watu 70,000 wale watakaoingia peponi bila ya hesabu ni wale ambao hawakuifuata ruqya (ruqya ni aya na du'a mbali mbali katika misingi ya ki sunna na si uchawi).

Ishu yangu ni kwanini mara 1000? Na nani aliweka mara hizo 1000? Labda ulete dalili kutoka kwenye quran au sunna ili tuelewane .
Kwanza naomba nikuulize,unaposema kuifuata ruqyah unamaanisha nini?
Pia kabla sijakujibu kwanini mara 1000,nikuulize kwanini ruqyah imefana kusomwa idadi ya witri 1,3,5,7.......!?
Kwanini haikuwekwa mara moja tu!?
 
Kwakweli inashangaza sana mwarabu kumsingizia aliyekuwa mfalme wa Israel (Suleiman) kuwa alikuwa anaongea na majini

Taarifa hii potofu waisraeli wenyewe hawaijui kuhusu mfalme wao.
 
Kwanza naomba nikuulize,unaposema kuifuata ruqyah unamaanisha nini?
Pia kabla sijakujibu kwanini mara 1000,nikuulize kwanini ruqyah imefana kusomwa idadi ya witri 1,3,5,7.......!?
Kwanini haikuwekwa mara moja tu!?
Late reply inshaallah nitakujibu kwa dalili na kwa kadiri nitakavyo afikishwa na ningependa na wewe utoe dalili mkuuu hivi tutaenda vizuri maana dini yetu hii ni qal allahu , qala rasulu na si nje ya hapo.

Ok umeuliza maswali mawili na nitayajibu kama ifuatavyo.

1. Namaanisha nini ninaposema kuifuata ruqya.

Jibu
Ruqya kama inavyotambulika hii ni tiba ya kisunna ya mambo mbali mbali kupitia quran na adhqar mbali mbali kama alivyotufundisha mtume wetu muhammad(swalalahu alayhi wasalam) na mtume muhammad (swalalahu alayhi wasalam) aliitumia sehemu mbali mbali mfano Alipologwa alitumia sura zile tatu za mwisho (surat nas, falaq na ikhlas) na Allah( subhana huwataala ) amponye kutokana na sihr aliyofanyiwa , kingine pia aliwahi kujiwa na mwanamke mwenye kifafa na akamuombea dua ili akidodoka nguo isimvuke na kumuacha uchi nadhani mifano ipo mingi sitoingia sana ndani .

Sasa turudi kwenye swali lako nitalijibu kwa hadith hii hapa

Hadith

"حَدَّثَنَا مُسَدَّدٌ، حَدَّثَنَا حُصَيْنُ بْنُ نُمَيْرٍ، عَنْ حُصَيْنِ بْنِ عَبْدِ الرَّحْمَنِ، عَنْ سَعِيدِ بْنِ جُبَيْرٍ، عَنِ ابْنِ عَبَّاسٍ ـ رضى الله عنهما ـ قَالَ خَرَجَ عَلَيْنَا النَّبِيُّ صلى الله عليه وسلم يَوْمًا فَقَالَ ‏"‏ عُرِضَتْ عَلَىَّ الأُمَمُ فَجَعَلَ يَمُرُّ النَّبِيُّ مَعَهُ الرَّجُلُ وَالنَّبِيُّ مَعَهُ الرَّجُلاَنِ، وَالنَّبِيُّ مَعَهُ الرَّهْطُ، وَالنَّبِيُّ لَيْسَ مَعَهُ أَحَدٌ، وَرَأَيْتُ سَوَادًا كَثِيرًا سَدَّ الأُفُقَ فَرَجَوْتُ أَنْ يَكُونَ أُمَّتِي، فَقِيلَ هَذَا مُوسَى وَقَوْمُهُ‏.‏ ثُمَّ قِيلَ لِي انْظُرْ‏.‏ فَرَأَيْتُ سَوَادًا كَثِيرًا سَدَّ الأُفُقَ فَقِيلَ لِي انْظُرْ هَكَذَا وَهَكَذَا‏.‏ فَرَأَيْتُ سَوَادًا كَثِيرًا سَدَّ الأُفُقَ فَقِيلَ هَؤُلاَءِ أُمَّتُكَ، وَمَعَ هَؤُلاَءِ سَبْعُونَ أَلْفًا يَدْخُلُونَ الْجَنَّةَ بِغَيْرِ حِسَابٍ ‏"‏‏.‏ فَتَفَرَّقَ النَّاسُ وَلَمْ يُبَيَّنْ لَهُمْ، فَتَذَاكَرَ أَصْحَابُ النَّبِيِّ صلى الله عليه وسلم فَقَالُوا أَمَّا نَحْنُ فَوُلِدْنَا فِي الشِّرْكِ، وَلَكِنَّا آمَنَّا بِاللَّهِ وَرَسُولِهِ، وَلَكِنْ هَؤُلاَءِ هُمْ أَبْنَاؤُنَا، فَبَلَغَ النَّبِيَّ صلى الله عليه وسلم فَقَالَ ‏"‏ هُمُ الَّذِينَ لاَ يَتَطَيَّرُونَ، وَلاَ يَسْتَرْقُونَ، وَلاَ يَكْتَوُونَ، وَعَلَى رَبِّهِمْ يَتَوَكَّلُونَ ‏"‏‏.‏ فَقَامَ عُكَّاشَةُ بْنُ مِحْصَنٍ فَقَالَ أَمِنْهُمْ أَنَا يَا رَسُولَ اللَّهِ قَالَ ‏"‏ نَعَمْ ‏"‏‏.‏ فَقَامَ آخَرُ فَقَالَ أَمِنْهُمْ أَنَا فَقَالَ ‏"‏ سَبَقَكَ بِهَا عُكَّاشَةُ ‏"‏‏.‏"

Narrated Ibn `Abbas:
The Prophet (ﷺ) once came out to us and said, "Some nations were displayed before me. A prophet would pass in front of me with one man, and another with two men, and another with a group of people. and another with nobody with him. Then I saw a great crowd covering the horizon and I wished that they were my followers, but it was said to me, 'This is Moses and his followers.' Then it was said to me, 'Look'' I looked and saw a big gathering with a large number of people covering the horizon. It was said, "Look this way and that way.' So I saw a big crowd covering the horizon. Then it was said to me, "These are your followers, and among them there are 70,000 who will enter Paradise without (being asked about their) accounts. " Then the people dispersed and the Prophet (ﷺ) did not tell who those 70,000 were. So the companions of the Prophet (ﷺ) started talking about that and some of them said, "As regards us, we were born in the era of heathenism, but then we believed in Allah and His Messenger . We think however, that these (70,000) are our offspring." That talk reached the Prophet (ﷺ) who said, "These (70,000) are the people who do not draw an evil omen from (birds) and do not get treated by branding themselves and do not treat with Ruqya, but put their trust (only) in their Lord." then 'Ukasha bin Muhsin got up and said, "O Allah's Messenger (ﷺ) ! Am I one of those (70,000)?" The Prophet (ﷺ) said, "Yes." Then another person got up and said, "Am I one of them?" The Prophet (ﷺ) said, " 'Ukasha has anticipated you."

Sahih

Sahih al-Bukhari, 5752
In-Book Reference: Book 76, Hadith 67
USC-MSA web (English) reference: Vol. 7, Book 71, Hadith 648 (deprecated numbering scheme)

Tafsiri kwa kiswahili

Imepokewa na Ibn Abbas:
Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) siku moja alitujia na kusema: “Baadhi ya mataifa yalionyeshwa mbele yangu. Nabii alikuwa akipita mbele yangu akiwa na mtu mmoja, na mwingine akiwa na watu wawili, na mwingine na kundi la watu. hakuna mtu pamoja naye. Kisha nikaona umati mkubwa wa watu ukifunika upeo wa macho, nikatamani wawe wafuasi wangu, lakini nikaambiwa: Huyu ni Musa na wafuasi wake. Kisha nikaambiwa, 'Angalia'' Nilitazama na nikaona kusanyiko kubwa na idadi kubwa ya watu wamefunika upeo wa macho. Kwa hiyo nikaona umati mkubwa ukifunika upeo wa macho. Kisha nikaambiwa: “Hawa ni wafuasi wako, na miongoni mwao wapo 70,000 watakaoingia Peponi bila ya (kuulizwa kuhusu) hesabu zao.” Kisha watu wakatawanyika na Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) hakueleza ni nani hao 70,000. . Maswahaba wa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) wakaanza kuzungumzia hilo na baadhi yao wakasema: “Hakika sisi tulizaliwa katika zama za ukafiri, lakini tukamuamini Mwenyezi Mungu na Mtume wake. 70,000) ni wazao wetu." Mazungumzo hayo yalimfikia Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) akasema: “Hawa (70,000) ni watu ambao hawawazi ubaya kutoka kwa (ndege) na hawajitii alama, wala hawafanyii Ruqya, bali wanamtegemea Mola wao Mlezi." kisha 'Ukasha bin Muhsin akasimama na kusema: "Ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu (ﷺ)! Je, mimi ni miongoni mwa hao (70,000)?" Mtume (ﷺ) akasema, "Ndio." Kisha mtu mwingine akasimama na kusema, "Je, mimi ni mmoja wao?" Mtume (ﷺ) akasema: ‘Ukasha amekutangulia.

KWa miaka ya sasa watu asilimia kubwa wanaifuata ruqya i.e kwa mashaikh kwa sababu mbali mbali na wachache ndiyo wanajifanyia wao wenyewe sasa waliongelewa hapa ni wale ambao wanakwenda kufanyiwa kisomo au wanaita shaikh awafanyir kisomo.

2. kwanini ruqya imefanywa kusomwa kwa idadi ya witiri?

Jibu
nadhani jibu la hili swali tunalipata kwenye hadithi hii hapa .Bali haijaongelea ruqya ila ijtihad inabidi ifuate quran na sunna na sidhani kama kuna dalili ya kuisoma kwa idadi fulani .

Hadith

"حَدَّثَنَا عَمْرٌو النَّاقِدُ، وَزُهَيْرُ بْنُ حَرْبٍ، وَابْنُ أَبِي عُمَرَ، جَمِيعًا عَنْ سُفْيَانَ، - وَاللَّفْظُ
لِعَمْرٍو - حَدَّثَنَا سُفْيَانُ بْنُ عُيَيْنَةَ، عَنْ أَبِي الزِّنَادِ، عَنِ الأَعْرَجِ، عَنْ أَبِي هُرَيْرَةَ، عَنِ النَّبِيِّ
صلى الله عليه وسلم قَالَ ‏"‏ لِلَّهِ تِسْعَةٌ وَتِسْعُونَ اسْمًا مَنْ حَفِظَهَا دَخَلَ الْجَنَّةَ وَإِنَّ اللَّهَ وِتْرٌ
يُحِبُّ الْوِتْرَ ‏"‏ ‏.‏ وَفِي رِوَايَةِ ابْنِ أَبِي عُمَرَ ‏"‏ مَنْ أَحْصَاهَا ‏"‏ ‏.‏"

Abu Huraira reported Allah's Messenger (ﷺ) as saying:
There are ninety-nine names of Allah; he who commits them to memory would get into Paradise. Verily, Allah is Odd (He is one, and it is an odd number) and He loves odd number. And in the narration of Ibn 'Umar (the words are):" He who enumerated them."

Sahih

Sahih Muslim, 2677 a
In-Book Reference: Book 48, Hadith 5
USC-MSA web (English) reference: Book 35, Hadith 6475 (deprecated numbering scheme)

Tafsir swahili

Imepokewa kutoka kwa Abu Huraira kuwa Mtume wa Mwenyezi Mungu (ﷺ) amesema:
Kuna majina tisini na tisa ya Mwenyezi Mungu; mwenye kuyahifadhi ataingia Peponi. Hakika Mwenyezi Mungu ni witiri(odd) (Yeye ni mmoja, na moja ni namba witiri ) na Anapenda idadi ya witiri. Na katika riwaya ya Ibn Umar (maneno yaliyotumika ni): "Atakaye yatamka"

Mkuu nasubiri uje na dalili ya swali langu

NA ALLAH NI MJUZI ZAIDI
 
Umejibu vema mkuu,ila mie sijazungumzia kuifuata ruqyah bali kuisoma ruqyah.

Maswali ulioniuliza nitayajibu kaka usijali,ila kuna jambo bado nalihitaji majibu toka kwako hivyo nitaendelea kukuuliza kwanza.
Hivi katika kumdhukuru Allah kuna ukomo wa idadi??
 
Hawa watu ni waganga wa kienyeji wanawashika masikio waislamu wanaopenda short cut na wasio na maarifa wala utambuzi juu ya dini yao, habari za kuabudu na kuomba msaada majini ni katika madhambi yanayomtoa mtu kwenye uislamu.

Na siku atakayowakusanya wote, kisha atawaambia malaika: "Hivi hawa walikuwa wakiwaabudu nyinyi"? watasema: "Tunakutakasa kukutakasa, wewe ndiye kipenzi chetu kinyume na wao, bali wao walikuwa wakiwaabudu majini, wengi wao wakiwaamini hao".

Qur'an 34:40-41

Huu ndio uislamu wa sawasawa unamtaka mtu kufanya kazi na kutafuta rizki ya halali, na si kutumia ushirikina wala kafara na matambiko na kuwanyenyekea majini kupata mali, nimeona hapo juu watu wengi wameutukana uislamu kwasababu ya neno la mtu mmoja asiyejua hata uislamu ni nini.

Wakuu kuweni na uvumilivu sisi ndo tumeshakuwa waislamu na tutabaki hivyo mpaka siku ya kufa kwetu kwa idhini ya allah, punguzeni chuki na muache matusi yasiyo na maana, uislamu uko mbali na kuabudu na kuwataka msaada mashetani.
Case closed
 
Hivi ikitokea sule kaokoka na kuachana na uislam atabaki salama? Wenzake watakubali kumuacha hai atoe siri za ushetani wa dini ya kiislam?
Unaamini vp km huyo sule yy ndo anajua dini kuliko waislam wote.
 
Umejibu vema mkuu,ila mie sijazungumzia kuifuata ruqyah bali kuisoma ruqyah.

Maswali ulioniuliza nitayajibu kaka usijali,ila kuna jambo bado nalihitaji majibu toka kwako hivyo nitaendelea kukuuliza kwanza.
Hivi katika kumdhukuru Allah kuna ukomo wa idadi??
Katika kumdhuru Allah(subhana huwataala) hakuna idadi i.e sunna ila kwa yale ambayo ameyafaradhisha mfano swala za faradhi ni lazima ziswaliwe kwa idadi yake bila kupunguza au kuzidisha , funga ya ramadhani zitafungwa kulingana na idadi yake ikifuata kuchomoza kwa mwezi mpya, zakatul fitr ina kiwango maalum .

ALLAHU A'ALAM
 
Huko katika ibada inafahamika kuna arkaanu zake ama nguzo zake.
Mie nazungumzia katika adh'kaar kama istighfaar na dua zingine.
 
Back
Top Bottom