Search results

  1. Alkam Alkam

    Natafuta Toyota Premio ya kununua, Model ya kati

    Gold star [emoji294]️ au kampuni gani Nzuri njoo upake hiyo roho Rangi iwe Nzuri Kama Yako.
  2. Alkam Alkam

    Natafuta Toyota Premio ya kununua, Model ya kati

    Husika na kichwa hapo juu, natafuta gari aina ya Premio model ya kati wengi tumezoea new model. Au IST lakini pendekezo la kwanza ni Premio. Karibuni sana OFFER YANGU NI MILLION KUMI NA MOJA (11,000,000) Napendelea sana kusiwe na dalali. 0787757175 WhatsApp/call/sms.
  3. Alkam Alkam

    Nahitaji mkopo wa 2,000,000 kwa dhamana ya kadi ya gari, gari namba D ya karibuni

    Wengi hua wanataka gari Kama Unaweza kuweka gari njoo dm nikupeleke sehemu
  4. Alkam Alkam

    Mtindo wa wanaume wa kibongo kuitana kwa kupeana vyeo, wadhifa na sifa

    Wazo lako sio baya lakini halina mashiko Saaana ntaeleza baadhi ya sababu na mifano Pia Suti bega kipindi boda alikua anaitwa Tajiri na utajiri Hana lakini siku zilivyo zidi kusogea jina la Tajiri likawa kweli Ally Hape alikua kilanja shuleni Watu wakazoea kumuita kiongozi kiongozi siku za...
  5. Alkam Alkam

    Ninahitaji Nyumba ya kupanga

    Parking ya Gari Uzio Vyumba viwili Kimoja master Sebule Jiko Luku yangu Maji yangu
  6. Alkam Alkam

    Ninahitaji Nyumba ya kupanga

    Panafaa Sana nikipata Nyumba ya vigezo hivyo kwa bajeti hiyo
  7. Alkam Alkam

    Ninahitaji Nyumba ya kupanga

    Ngoja Nami nione mkuu Kama ntapata Msaada au kusimangwa
  8. Alkam Alkam

    Ninahitaji Nyumba ya kupanga

    Nina hitaji Nyumba ya kupanga ya Vyumba viwili Moja iwe master sebule jiko ndani ya uzio maji umeme vijitegemee bajeti yangu 200,000/= kwa mwezi nalipa kuanzia miezi minne (4) Maeneo Kitunda kuanzia njia panda ya shule Mpaka mwembeni,kitunda Mwanagati,Kitunda nyantira, Tabata kimanga,Tabata...
  9. Alkam Alkam

    UONEVU: Tanesco Arusha pitieni upya migawo yenu

    Kaka wachana na hiyo kiboko nimeikuta Mbeya Uyole nina 3 weeks wanakata umeme daily, day na night
  10. Alkam Alkam

    Kwanini Watanzania hawapendi kusafiri?

    Hela ya kula tabu watapata Wapi hela ya Nauli? Na wengi hawana sababu za kusafiri.
  11. Alkam Alkam

    Je, unaweza kupanda kwenye mnara wa mawasiliano wenye urefu wa futi 1500 kwa ujira wa sh. 50 Milioni? Changamkia fursa

    Kikubwa safety tu,talk Pool kipindi tunafunga 3G kwenye minara ya Airtell tulikua tunapanda sana Moshi Arusha
  12. Alkam Alkam

    Nimepiga block ombaomba wote mpaka baba na mama

    Ujakua Ndugu yangu ukikua utaacha me natafsiri huo ni utoto Swali umepiga block Mpaka Utelezi?
  13. Alkam Alkam

    Car4Sale Toyota Allion new model

    Comment hizo ukisoma zinasema andika Bei
  14. Alkam Alkam

    Ukichelewa kulipa kodi, mwenye nyumba anatakiwa kukupa muda gani ili uondoke?

    Nilitaka kushangaa mkuu [emoji38][emoji38][emoji38] sawa atalipa
  15. Alkam Alkam

    Ukichelewa kulipa kodi, mwenye nyumba anatakiwa kukupa muda gani ili uondoke?

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pole Sana kaka ni changamoto.
Back
Top Bottom