Wapangaji msipange nyumba za watu wanaozitegemea wanadai balaa.MKuu acha tu mm mwenye nyumba nilimuomba anivumilie Kuna dili nasikilizia any time linatiki,Asubuhi naamka nakuta paa la chumba changu halipo,sijui alitoa sangapi yule Mzee,ilibidi niuze bufa nimalize msala.
mi sijui hiko lakini nilishawahi kupewa notice ya miezi mitatu, ilivyofika miwili nikahamaHiyo ni sheria nambari ngapi ya mwaka gani?
Kwani Wewe ulishahama kwa wazazimi sijui hiko lakini nilishawahi kupewa notice ya miezi mitatu, ilivyofika miwili nikahama
labda ndugu LIKUD atufafanulie zaidi
aliekwambia nipo kwa wazazi nani?Kwani Wewe ulishahama kwa wazazi
Mpangaji wangu ana miezi 8 hajanipa kodi kafukuzwa kazi na mkewe kajifungua juzi tu hapa,kodi namdai lakini nimejikuta natoa hela yangu kuwapa watoto wake chakula na hata mke aliposhikwa uchungu akanikopa tena pesa ya upasuaji wa mkewe.
Yaani hapa sioni dalili yoyote ya kulipwa na hapa nafikiria nikimfukuza ataenda wapi!
pole na hongera kwa ujasiri wako 💪💪Mpangaji wangu ana miezi 8 hajanipa kodi kafukuzwa kazi na mkewe kajifungua juzi tu hapa,kodi namdai lakini nimejikuta natoa hela yangu kuwapa watoto wake chakula na hata mke aliposhikwa uchungu akanikopa tena pesa ya upasuaji wa mkewe.
Yaani hapa sioni dalili yoyote ya kulipwa na hapa nafikiria nikimfukuza ataenda wapi!
Muwage na ubinadamu nyie wenye nyumba, kuna matatizo na masaibu.Mm nyumba zangu kwa mujibu wa mkataba ni immediately baada ya kodi yake kuisha hana uhalali wa kuendelea kubaki kwenye nyumba yangu bila kulipa.
Na pia mpangaji au mm nilitaka kusitisha mkataba lazima nitoe/atoe taarifa na ndani ya huo mwezi lazima mpangaji awe ndani ya kodi yake.
Kujenga nyumba ni gharama kubwa halafu mpangaji aje kuleta ujinga wake wa kindezi??
Mwambie alipe kodi, kwangu tarehe uliyoingia ndio utakayotoka, siku zinazoongezeka kwa usumbufu hata kama ni 5 utazilipia pia kwa mahesabu...
MKuu acha tu mm mwenye nyumba nilimuomba anivumilie Kuna dili nasikilizia any time linatiki,Asubuhi naamka nakuta paa la chumba changu halipo,sijui alitoa sangapi yule Mzee,ilibidi niuze bufa nimalize msala.
Naomba wenye nyumba wote wasome hapa na waelewe.Sheria inamtambua mpangaji kama mvamizi mara tu kodi yake inapoisha.
Hivyo mwenye nyumba anao uhalali wa kukutoa mje ya nyumba yake,ila tu kwa kufata kanuni,mashahidi na mjumbe wa makazi mtaa huo.
Kosa analoweza kulifanya mwenye nyumba ni kuingiza hisia za"hii ni nyumba yangu"akatumia hasira kuvunja na kuingia kutoa vitu mwenyewe,hapo atakuwa kaharibu.
Kinachofanyika huwa ni ubinaadam tu wa kawaida,mtu aliyekulipa kwa wakati kipindi kilichopita anaweza pia kukosa kwa wakati kodi yako.hivyo ukamvumilia hata miezi 2 kama huna njaa za jua kali.
Hapa Kenya utafikishwa kizimbani, notice huku ni miezi mitatu hadi sita.Mimi nakupa masaa tu, kakae bure kwenye nyumba ya baba yako.
Sheria inamtambua mpangaji kama mvamizi mara tu kodi yake inapoisha.
Hivyo mwenye nyumba anao uhalali wa kukutoa mje ya nyumba yake,ila tu kwa kufata kanuni,mashahidi na mjumbe wa makazi mtaa huo.
Kosa analoweza kulifanya mwenye nyumba ni kuingiza hisia za"hii ni nyumba yangu"akatumia hasira kuvunja na kuingia kutoa vitu mwenyewe,hapo atakuwa kaharibu.
Kinachofanyika huwa ni ubinaadam tu wa kawaida,mtu aliyekulipa kwa wakati kipindi kilichopita anaweza pia kukosa kwa wakati kodi yako.hivyo ukamvumilia hata miezi 2 kama huna njaa za jua kali.
Miezi mitatu .sheria ya nchi gani hiyoKisheria huwaga ni miezi mitatu
Umeulizwa kwa mujibu wqko au kwq mujibu wa sheria za Tz?Mm nyumba zangu kwa mujibu wa mkataba ni immediately baada ya kodi yake kuisha hana uhalali wa kuendelea kubaki kwenye nyumba yangu bila kulipa.