Search results

  1. danja de genzo

    Fundi wa madishi Morogoro

    Habari upo morogoro na unatafuta fundi Karibu upate mafundi waaminifu huduma tutoazo FUNDI MADISHI FUNDI UMEME FUNDI MAFRIJI Karibu upate huduma za KUFUNGA TV UKUTANI, huduma zote zinazohusu solar, huduma zote za UMEME wa majumbani na viwandani ,huduma za kumtengenezea mafriji yasiyopoza Karibu...
  2. danja de genzo

    Tupeane mchongo wa kazi kwenye bomba la mafuta

    Habari wana jukwaa natumaini mambo yanaenda Kwa wale ambao wanataarifa ya kuanza kuajiri wafanya kazi wa bomba la mafuta la ohima tanga tujuzane
  3. danja de genzo

    Motor rewinding

    Tunatoa huduma ya kusuka motor za aina zote Tunafunga mashine za umeme za aina zote Turepair na kutroubleshoot mashine zote Ushauri Mawasiliano: 0753946107 +255 718 185 096. Dar es salaam Tanzania.
  4. danja de genzo

    Happy New Year East Africa!

    Heri ya mwaka mpya ndugu zangu wa Afrika Mashariki.[emoji371][emoji371] Sent using Jamii Forums mobile app
  5. danja de genzo

    SOKONI

    SOKONI Karibu upate kamera kali kwa bei poa sana nicheki mpya na used mawasiliana: 0753946107 0625929915
  6. danja de genzo

    Utalii chachu ya maendeleo Tanzania yaweza kuwa kilio kwa majirani

    Ni nusu mwaka tu tayari kuna ongezeko la watalii tanzania wengi wakiwa watu maalufu licha ya kuwa na vivutio vya kutosha faragha tu imekuwa kivutio kwa watu wengi mashughuli.
  7. danja de genzo

    Kuku Aina ya kuchi

    Kwa anayefahamu bei ya kawaida ya kuku Aina hii.
  8. danja de genzo

    Msaada Tecno N2 kamera ya selfie aifanyi kazi.

    Samahanini waungwana naomba msaada kamera yangu ya selfie aifanyi kazi nimejalibu njia tofauti lakini nimeshindwa .
  9. danja de genzo

    Windows 10 inagoma kuinstall kwenye kompyuta yangu

    Naomba kujua tatizo la pc yangu nikiinstall window 10 inaandika the version of this file is not compatible with the version of windows you're running.check your computer's system information to see whether you need an x86 {32-bit} or x64 {64-bit} version of the program,and then contact the...
  10. danja de genzo

    msaada aina nzuri ya anti virus

    jamani msaada niweke anti virus gani mzuli kwenye PC yangu aina ya HP Na ninatumia window 8
Back
Top Bottom