Recent content by USSR

  1. USSR

    Serikali haioni mateso ya watoto wadogo kupindi hiki cha mvua kubwa na ikasimamisha kwa muda

    Baada ya maji kuwasomba watoto na kuwauwa kule Arusha nilijua serikali ingeona nini kitatokea, na sasa wanasema itachukua wiki mbili kunyesha kwa kiwango kikubwa namna hii na watoto wa kitanzania wanasota huku wale wa nchi za jirani wamesitisha ukatili huu kwa muda Ukiwa njiani unawaona watoto...
  2. USSR

    Huu muonekano wa neno GOOGLE leo una maana gani?

    Ndio namshangaa anauliza wakati hapo wameweka jibu ,kanisa Earth Day USSR
  3. USSR

    DOKEZO Serikali chukueni hatua za haraka dhidi ya Nabii Dominiki "Kiboko ya Wachawi"

    Huyu ni muongo ametumwa na manabii wahovyo USSR
  4. USSR

    DOKEZO Serikali chukueni hatua za haraka dhidi ya Nabii Dominiki "Kiboko ya Wachawi"

    Hakuna alicho andika cha kweli kwani wananyang'anywa watu wanapona wewe unaleta siasa USSR
  5. USSR

    DOKEZO Serikali chukueni hatua za haraka dhidi ya Nabii Dominiki "Kiboko ya Wachawi"

    Wewe ni suguye ,Mwamposa au malisa au Musa naona amewazidi ,jamaa anaouwezo Mkubwa sana yule sio level zenu Nitajie nabii ambapo kuniona ni bure USSR
  6. USSR

    Nini kifanyike kuokoa ndoa kwa sababu ya wanawake kukosa nguvu za kike?

    Nyie wenye story nyingi hamnaga kitu USSR
  7. USSR

    Nini kifanyike kuokoa ndoa kwa sababu ya wanawake kukosa nguvu za kike?

    Kumekuwa na kasi kubwa ya wanawake wengi hasa mijini kukosa nguvu za kike, nao moja tu uaanza kulalamika eti amechoka na visingizio kibao mara amechoka,mara anamaumivu mara anamawazo na n.k Nini kifanyike hawa viumbe wawe kama zamani unalala unaikoboa na bado asubuhi wanadai . Kazi ya kucheka...
  8. USSR

    Fatma Karume arudishiwa Uwakili Tanzania Bara

    Namsubilia kama atakosoa mateso ya wakristo hapo Zanzibar USSR
  9. USSR

    Kugongana kwa mabasi Sauli na New Force lilikuwa jambo la Muda tu

    Mabasi haya yamegongana usiku wa kuamkia leo na kusababisha yote kuungua moto pia foleni kubwa kwa barabara ya Dar - Chalinze na majeruhi kadhaa Hili nilikuwa jambo la kusubiria maana ligi zao njiani zilipita uhalisia wa safari za kuwahi kufika ===== Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Bw.Abubakar...
  10. USSR

    Nilifanya mapenzi kinyume na maumbule 2016, mwaka huu imemfanya mchumba wangu kuniacha kabla ya ndoa!

    Huyo kwenye picha ndio we we USSR Sent from my Infinix X6511G using JamiiForums mobile app
  11. USSR

    Kwanini Nchi nyingi zenye asili ya Uislam zinakumbwa na Vita sana?

    Kwani hujui ,ulishawahi kufika USSR Sent from my Infinix X6511G using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom