Recent content by Nyendo

  1. Nyendo

    Upi ushauri au maoni yako kwa anayekusudia kugombea nafasi yoyote nchini?

    Unamshauri nini au una maoni gani juu ya mtu yoyote anayekusudia kugombea nafasi yoyote ya uongozi nchini kufuatia uchaguzi ujao wa Serikali za mitaa na Serikali kuu? Unamshauri nini azingatie na nini asijekirudia ambacho ulikiona kwa wagombea wengine kwenye chaguzi za nyuma? Mwaka huu wa 2024...
  2. Nyendo

    Gridi ya Taifa yapata hitilafu na kusababisha baadhi ya maeneo kukosa umeme, TANESCO watoa taarifa

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetoa taarifa kwa Wateja wake kuwa kumetokea hitilafu kwenye mfumo wa Gridi ya Taifa majira ya 08: 40 usiku May 04 20224 na kusababisha kukosekana kwa huduma ya umeme kwenye baadhi ya maeneo iliyounganishwa na Gridi hiyo. TANESCO wanasema Juhudi za...
  3. Nyendo

    Kwa upande wako kiongozi mwenye sifa zipi ndiye mtawala bora?

    Moja ya sifa ya kuna demekrasia ni uwepo wa utawala bora, dhana hii ya utawala bora imekuwa na mtazamo tofauti tofauti kutoka kwa mtu mmoja kwend akwa mwingine, kila mtu amekuwa akiweka kipimo cha kumjua mtawala bora kulingana na na jinsi alivyokuwa akitegemea kuongozwa na mtawala au kiongozi...
  4. Nyendo

    Ungekuwa na Mamlaka Serikalini, ungefanya nini kuikuza Tanzania kiuchumi bila kumuongezea mzigo mwananchi?

    Kama ungekuwa na uongozi ngazi za juu, ungekuwa au kuja na mpango au mbinu gani ya kuikuza Tanzania kiuchumi bila kumtwisha mzigo wa kodi au makato mengine mwananchi? Kumekuwa na mijadala mbalimbali kuhusu mzigo wa kodi au tozo kwa wananchi, huku watu hao wakiwa na hoja ya Tanzania ni nchi...
  5. Nyendo

    UZUSHI Pen (kalamu) zinazolipuka kama Bunduki zinagawiwa na kuuzwa kwenye Shule za Tanzania

    Leo nimeona video ambao imewekewa sauti ya mtu akisema wametumiwa video hiyo kwenye group la shule ya Themihill, video hiyo inaonesha mtu akifungua kitu kinachoonekana kama pen (kalamu) ambacho ndani yake kina risasi na baadaye kufyatuliwa. Anayeelezea video hiyo anadai pen hizo zinagawiwa...
  6. Nyendo

    Ushawahi jaribu kupika vitu vipya ukatoa boko?

    Mie napenda kujaribu vitu vipya jikoni, mfano pishi jipya au hata viungo vipya au mchanganyo mpya wa viungo na pishi. Japo kuna nyakati mara chache siyo mara nyingi huwa nikijaribu mchanganyo mpya wa pishi jipya naharibu ila mara nyingi natoa kitu hadi najisifu. Kuna pishi nililiona mtandaoni...
  7. Nyendo

    Jambo au mambo gani hutaki kuyaona yakijirudia tena kwenye chaguzi zijazo?

    Tunapoelekea uchaguzi Mkuu kuna mambo mengi yameanza kujitokeza na yatajitokeza zaidi kadri muda unavyozidi kwenda kwenye mchakato mzima mpaka siku ya kupiga kura na hata wakati wa matokeo na baada ya matokeo. Yapo mambo mengi yalitokea nyakati au chaguzi zilizopita ambayo yaliibua hisia...
  8. Nyendo

    Rais Samia atengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia, Kassim Seif Ndumbo

    Rais Samia atengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia, Kassim Seif Ndumbo Pia Soma - Kiongozi wa Halmashauri Mafia adaiwa kumbaka Dada wa kazi. Je, Utenguzi alifanya Rais unahusiana na tukio hili? - Polisi Mafia wamchunguza DED aliyetenguliwa na Samia
  9. Nyendo

    Una kadi yoyote ya chama cha Siasa? Uliichukua kwa madhumuni gani?

    Hapo kwenye banda la mbwa hahahaaaaa
  10. Nyendo

    Una kadi yoyote ya chama cha Siasa? Uliichukua kwa madhumuni gani?

    Kwa hiyo ili kupata huduma za kijamii kwa urahisi inabidi uwe mwanachama wa CCM la sivyo inakula kwako!
  11. Nyendo

    Una kadi yoyote ya chama cha Siasa? Uliichukua kwa madhumuni gani?

    Kadi yoyote tu unaweza kuisemea
  12. Nyendo

    Una kadi yoyote ya chama cha Siasa? Uliichukua kwa madhumuni gani?

    Chama dume ndio chama gani hicho na umuhimu wake ni upi? Funguka mkuu tujue wote
  13. Nyendo

    Una kadi yoyote ya chama cha Siasa? Uliichukua kwa madhumuni gani?

    Uijiunga kwa kuwa unakipenda chama au unategemea kupata upendeleo fulani kwa kuwa mwanachama wa chama hicho
  14. Nyendo

    Una kadi yoyote ya chama cha Siasa? Uliichukua kwa madhumuni gani?

    Ukiomba kazi wapi? Serikalini au sekta binafsi?
Back
Top Bottom