Siku ukienda NIDA ndio utapata stroke kabisaaaa, ogopa mbongo akiwa kwenye nafasi yake we pishana nao tu bara barani wamevaa skafu zao na mashati ya kuchomekea ,hata konda kwenye dala dala anakuvimbia, ofisi ya kata wanakuvimbia,sijui Tanesco wanakuvimbia,sijui konda wa basi anakuvimbia, nesi...
Haya mambo kwenye mahotel makubwa nakubali kabisaa ,kuna jamaa yangu ni fundi aliwahi kwenda kufanya kazi ya kurekebisha Tanga beach resort na kuna chumba wateja walipiga simu kuna shida ,
Jamaa kufika alikua vidume viwili huku vimepakatana na tu havina wasi wasi vinampa maelekezo jamaa yani kwa...
Hebu tuambie Ma Dc watatu na ma Rc watano tu wanaofanya kazi kama Bashite, acheni zenu nyie tumewachoka kila kitu siasa ,siasa tuu mpaka kuonekana kwa tv mshaona wivu
Ila na sisi wabongo tumezidi hatujui tuna taka nini, angekodi ndege ungesikia bora angesafiri na uber haya kachukua ya Atc kila mtu kawa mchumi ,angeenda na meli aaaah atachelewa si angepanda ndege tu yani ili mradi blah blah
Kuna baadhi ya viongozi wa serikali ya msumbiji wanauza info kwa hao washenzi, kuanzia maafisa wa ngazi za juu hadi watu wanene katika maamuzi ya nchi ,
Hali hiyo ilisababisha hata Wagner kujitoa maana waliona unafki mtupu hapo kwa Wamakonde,
Lakini pia mara nyingi hata mateka wao walipokuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.