Recent content by Mabula Msirikale

  1. Mabula Msirikale

    UKIMWI upo ndugu zangu

    Tanzania kuna Watu milioni 60+ (Sensa 2022) kila mtu angepiga na ndom idadi yetu Watanzania tungekua chini ya milioni 20.
  2. Mabula Msirikale

    Kikao cha Wanaume: Usimkule Mke wa Mtu Hata Kama Kajirahisi Vipi Kwako

    Nilikua naenda kukutana na mke wa mtu maeneo ya Kinyerezi. Nimesoma huu Uzi nafsi imenisuta napiga U turn narudi nilipotoka, Bagamoyo road.
  3. Mabula Msirikale

    Tetesi: Ubalozi wa Tanzania Uturuki unashirikiana na jeshi la polisi la Uturuki kuwadeport Watanzania

    Huna makaratasi umedakwa na Polisi halafu Ubalozi wa Nchi yako ndio ukutetee? Hakuna hicho kitu, si ujilipue kikimbizi au uoe raia wa hapo upate makaratasi.
  4. Mabula Msirikale

    Je, viongozi kama Mwigulu wanavyoanza kuwaandaa watoto wao kushika madaraka wanatamani uongozi wa kiimla?

    Mtoto anaishi Mbezi beach, anakua mwenyekiti wa chipukizi Iramba. Watoto wanaoishi Kinampanda, Kiomboi,Kisiri, Shelui,Misigiri n.k hawakupata hiyo nafasi.
  5. Mabula Msirikale

    Nampenda sana Nargis Mohamed

    Nargis ni mke wa mtu, mume wake namfahamu.
  6. Mabula Msirikale

    Ndugu yangu alishinda betting milioni 7 na laki 4 mwezi wa kwanza, kwa sasa anatia huruma, hii michezo ina maendeleo kweli?

    Ila Nchi hii kuna umasikini sana, milioni 7 mbona Pesa ndogo tu. Kubeti mkeka wa laki 1 mbona Jambo dogo tu. Watu wanaweka 1 m kwenye mkeka kila wiki.
  7. Mabula Msirikale

    Dkt. Kigwangala: Ningekuwa kwenye Research au Chuo Kikuu ningeshakuwa Professor sasa lakini hapa nilipo natukanwa tu na Vijana

    DK ana mapungufu ikiwemo kutokupendwa na watu ila kuna Mambo mengi sana ya kujifunza kutoka kwake.
  8. Mabula Msirikale

    Msajili wa Jumuiya za Kiraia: Makundi ya WhatsApp kusajiliwa Kisheria kwa TZS 200,000/-

    Watsap utafikiri imetengenezwa na Serikali vile, wanataka wanufaike nayo.
Back
Top Bottom