mzeewaSHY
JF-Expert Member
- Aug 31, 2021
- 8,854
- 8,503
Kwa mara ya kwanza Kigwangala fahamu zimemrudia !Mbunge wa Nzega vijijjini mh Dr Kigwangala amesema angekuwa kwenye research au Chuo kikuu angeshakuwa Professor Lakini sasa alipo anaishia kutukanwa tu na Vijana wadogo
Dr Kigwangala amelalama ukurasani X
Mlale Unono 😄😄
Ni kweli kabisa kabisa ukienda sehemu ile ya kupata pesa za bure bure tu kwa kuwadanganya watu na maneno ya uongo uongo tu ni lazima you will pay the price !
Ndivyo inavyowatokea wengi tu waliomo humo kwenye game yetu !
Na ubaya wa pesa ni kwamba aijawahi kumtosha mtu !
Au kwa lugha nyepesi ni kwamba Tamaa huwa haina mwisho mpaka dakika ile chungu ya mwisho wa safari inapomfika mtu ndipo huwa anataka kushituka lakini anakuta it’s already too late ⏰ !
Nimeshawasikia watoto wengi wa wenye pesa nyingi wakilalamika baada ya mzazi kutangulia mbele za haki kwamba Baba yetu hakuwahi kustarehe !!
Unamuangalia kisha unabaki kusema Hiiii ! 🙏🙏