Middle East Taifa lenye nguvu za kijeshi na ambalo linaogopewa ni Iran pekee! Kwa kutambua nguvu zao ndio maana tangu late 70 walipigwa vikwazo baada ya Ayatollah kumpindua kibaraka Mfalme Shaha,bahati mbaya sana pamoja na vikwazo,Irani chini ya utawala wa Ayatollah imezidi kua na nguvu zake...
Houthi wanaotawala eneo kubwa la Yemen wametungua tena ndege jeshi ya USA aina ya MQ-9 ambayo thamani yake ni dola 30mln.
Taarifa rasmi ya msemaji wa jeshi na video ya hatua nzima ya kuipiga komborq ikiwa umbali wa zaidi ya 10km angani nimeambatanisha.
Waridi88 kw intro tu nimependa ulivyo mkweli kwani Id name yako inaukweli wa jina lako na umri wako kwa mwaka uliozaliwa.
Ikitokea nafasi ya kua mke wa pili nijuze kwani nimeoa na nina watoto watatu,kwa hiyo ukiwa mke mwenza naongeza mtoto mmoja tu kwako basi!!
Mungu akujaalie hitaji la moyo...
Mwendesha mashtaka mkuu wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu wa Kivita, ICC, ametoa maombi ya kukamatwa kwa Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu na kiongozi wa Hamas katika Ukanda wa Gaza kwa uhalifu wa kivita.
Mwendesha mashtaka, Karim Khan KC alisema kuna sababu za msingi za kuamini kwamba...
Mwezi huu Lumumba lazima posho zipandishwe!!
Makame Mbarawa ni mzanzibari,inakuaje anaongoza wizara ya ujenzi na uchukuzi wakati sio mambo ya Muungano?!! Mtu asie
Shaka ni DC huku Bara ilihali mzanzibari,Watanganyika wamekwisha?!! Zanzibar Mtanganyika haruhusiwa hata kua Diwani wala kupiga...
Binafsi wife kashawahigi huko nyuma kutaka kunyonya, kiukweli nilimuzuia kidizaini fulani then nikashika hatamu na kumpa hukumu ya haki yake.
Kwangu binafsi naona ni utumwa kwa kweli na mara nyingi wanawake huridhia kwa ajili ya kumgurahisha mwanaume.
Kwa sasa na na hali hizi za UTI ndio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.