Recent content by Kimbukiko

  1. K

    Kuna tatizo mahali, dola hakuna sekta binafsi zinakufa

    Na gharama za usafirishaji wa containers za bidhaa zimepanda sana
  2. K

    Siwezi kuwa na msichana asiyejua tofauti ya R na L, anayeandika Yutiyai badala ya U.T.I.

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Amazon college au ?
  3. K

    Bei ya Usafirishaji wa Bidhaa za nje ya Nchi zapanda

    Nilikuwa naangalia hilo ongezeko la kutoka USD 2500 mpaka USD 6000 , hii ni dhahama kabisa ,maana hapo ni ongezeko la zaidi ya asilimia mia kwenye gharama za kusafirisha contena la bidhaa . Hapo inflation inayokuja itakuwa ni mtafutano mithiri ya Zimbabwe , na ninashangaa kwanini hata watu...
  4. K

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Heeee hili jini linabaki au sio ?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kwamba linataka kufuta kabisa legacy ya Kibabu Fergie . Epl ishakua ligi ya wakulima ,msimu ujao tukaze tako tuondoe hii aibu aisee .
  5. K

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Di zerby aje tu ,atatufaa sana Mashavu Poch ,arudi kwao huko Argentina akachunge ng'ombe
  6. K

    Video ikiwaonesha raia wa marekani wanaosadikika kuwa CIA wakiomba wasiuwawe baada ya jaribio la kuipindua serikali ya Congo DRC

    Mzebedayo hujawahi kuwa na akili . Wewe si ndio unawapigia debe kila siku hao mabwana ?
  7. K

    Bei ya Usafirishaji wa Bidhaa za nje ya Nchi zapanda

    The new zimbabwe
  8. K

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Usikute Hamis Masingeli washatandika matanga huko Mkuranga tayari , maana hawa arsenane akili zao huwa zipo kwenye kitanzi na sumu ya panya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  9. K

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Yaani huo muda wa miaka 20 ambao Arsenyetoz hawajabeba ubingwa wa Epl ,kuna jitu limezaliwa Lika pata barekhe na kuota vinyweleo na likaoa kabisa Arsenyetoz ni mufilisi
  10. K

    News Alert: Rais wa Iran, Ebrahim Raisi na Waziri wa Mambo ya Nje wafariki dunia kufuatia ajali ya Helikopta

    Huyo Kanjibai wamminye mbupu mpaka aseme waliomtuma Wahindi ni vibaraka wa mayahudi , ilikuwa ni mistake kuwatrust makanjibai wakati mko vitani na mazayuni
  11. K

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Huyu dogo sijui kwa nini wameshindwa kumuuza , huyu si alienda Monaco Kwa mkopo ? Kweli uchawi upo
  12. K

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Kuna mechi zaidi ya tano tumepoteza kipumbavu kabisa msimu huu na tatizo lilikuwa ni upuuz wa pochetino kwenye kuusoma mchezo , substitution na mbinu , huu msimu tulitakiwa kushiriki UEFA Poch anahusika kwa hili
Back
Top Bottom