Ukiandika kama mkristo sishangai maana bible na tanakh vinawaamrisha kuuwa watoto ambao hawana hatia what peaceful religions anyway let me back up with some verses.
2 wafalme 2:23-24
(23)Elisha aliondoka Yeriko, akaenda Betheli. Alipokuwa njiani, wavulana fulani walitoka mjini wakaanza...
Nikubali kwanza sikuwahi kulifuatilia hili kiundani hivyo meengi uliyoandika hapo nilikuwa siyafahamu ila nimejifunza kitu na nimekuwa interested kujifunza zaidi inshaallah nitachimba zaidi ili niwezw kuwa familiar na sheria hizi hasa kwenye nchi ambazo ni za ki demokrasia kama ya kwetu na...
Nikiandika kama muislamu mwanaume na niliyepitia mafunzo ya jkt kwa mujibu miaka kadhaa nyuma .
1. Niseme tu jkt/jeshi/ polisi ni kazi ambazo hazifai kwa muislamu awe wa kike au wa kiume na hii ni kiimani zaidi maana hata wanaume tulivaa pitshort kibukta ambacho hakifuniki magoti hivyo kuacha...
Anyway kwa mara ya tatu nitarudia maswali yangu tena .
maswali yangu haujajibu nitayarudia hapa chini
1. Unaposema ndugu zangu mapepo sijui unaweza kuthibitisha hili?
2. Unaelewa nini kuhusu neno jinn?
3. Labda nikuulize kuna tofauti gani kati ya pepo, shaitani, jinn , iblis ??
Jitahidi kwa kila claim unayoitoa uweke na backuo evidence bila ya hivyo hakuna ambaye atachukulia maanani kile unachokiandika kwa asilimia kubwa sana umeandika mambo ambayo hayaeleki na hayapo kwenye uislamu.
Hebu kwa kila ulichoandika weka na evidence mkuu ili watu wajifunze kupitia wewe .
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.