Recent content by G4N

  1. G

    Dkt. Kigwangalla: Mbowe hataki kuachia Uenyekiti, alimfukuza Zitto na sasa anamfanyia figisu Lissu. Tumwite Ayatollah Mbowe au Kabaka Mbowe

    Chama gani cha demokrasia kinakwepa misingi ya kidemokrasia ya kuachiana kijiti? Kukosa ukomo ni ukomunisti huo
  2. G

    Dkt. Kigwangalla: Mbowe hataki kuachia Uenyekiti, alimfukuza Zitto na sasa anamfanyia figisu Lissu. Tumwite Ayatollah Mbowe au Kabaka Mbowe

    Umeshindwa kujibu hoja ya mtoa hoja unaleta vioja. Kwann Mbowe haondoki madarakani kama demokrasia inavyotaka?
  3. G

    Dkt. Kigwangalla: Mbowe hataki kuachia Uenyekiti, alimfukuza Zitto na sasa anamfanyia figisu Lissu. Tumwite Ayatollah Mbowe au Kabaka Mbowe

    Chadema inajipambanua kuwa chama mbadala wa ccm, Sasa wananchi wanapoona uozo na kuukemea usijifiche kwenye misemo na methali. Kwa kufanya hivyo mnaibagaza chadema. Jibu hoja, kwann mwenyekiti haondoki madarakani?
  4. G

    Dkt. Kigwangalla: Mbowe hataki kuachia Uenyekiti, alimfukuza Zitto na sasa anamfanyia figisu Lissu. Tumwite Ayatollah Mbowe au Kabaka Mbowe

    Umesoma hoja ya mleta mada? Kwahiyo fomu moja ya ccm ndiyo inaifanya chaema kukiuka demokrasia ndani ya chama?
  5. G

    Ili kujenga jamii bora yenye maadili, ianzishwe tuzo ya kutunza ubikra

    Mwanaume kwa asili ni polygamy. Ndiyo maana hata kwenye zizi huwezi kukuta majike mawili halafu mabeberu 20. Au majogoo 10 halafu mtetea mmoja. Kwahiyo ndiyo maana ktk jamii zetu mwanaume anayechepuka anaitwa kidume, lkn mwanamke anayechepuka anaitwa malaya. Ktk amri 10 za Mungu, mojawapo...
  6. G

    Dr. Dorothy Gwajima amepatwa na nini tena? Kweli Uchawi upo

    Kwani kafanya nn cha ajabu? Mbona mleta mada ndiyo kituko??
  7. G

    Ili kujenga jamii bora yenye maadili, ianzishwe tuzo ya kutunza ubikra

    Lanlady kuwa mkweli ktk hoja zako. Kuna pahala unatuingiza chaka. Wasichana wanaolala na wanaume wengi (waliotolewa bikra) kabla ya ndoa ndiyo wanaochota mikosi . Waliojitunza huwa wanagombaniwa na waoaji
  8. G

    Ili kujenga jamii bora yenye maadili, ianzishwe tuzo ya kutunza ubikra

    Hizi ni stori za vijiweni hazina ukweli na uhalisia
  9. G

    Ili kujenga jamii bora yenye maadili, ianzishwe tuzo ya kutunza ubikra

    Imesema nilete ushahidi wa thamani ya bikra. Nimekupa. Na wewe leta ushahidi wa thamani ya bwawa (kupoteza bikra kwa kudanga.)
Back
Top Bottom