Search results

  1. G

    Ili kujenga jamii bora yenye maadili, ianzishwe tuzo ya kutunza ubikra

    Mwanaume kwa asili ni polygamy. Ndiyo maana hata kwenye zizi huwezi kukuta majike mawili halafu mabeberu 20. Au majogoo 10 halafu mtetea mmoja. Kwahiyo ndiyo maana ktk jamii zetu mwanaume anayechepuka anaitwa kidume, lkn mwanamke anayechepuka anaitwa malaya. Ktk amri 10 za Mungu, mojawapo...
  2. G

    Dr. Dorothy Gwajima amepatwa na nini tena? Kweli Uchawi upo

    Kwani kafanya nn cha ajabu? Mbona mleta mada ndiyo kituko??
  3. G

    Ili kujenga jamii bora yenye maadili, ianzishwe tuzo ya kutunza ubikra

    Lanlady kuwa mkweli ktk hoja zako. Kuna pahala unatuingiza chaka. Wasichana wanaolala na wanaume wengi (waliotolewa bikra) kabla ya ndoa ndiyo wanaochota mikosi . Waliojitunza huwa wanagombaniwa na waoaji
  4. G

    Ili kujenga jamii bora yenye maadili, ianzishwe tuzo ya kutunza ubikra

    Hizi ni stori za vijiweni hazina ukweli na uhalisia
  5. G

    Ili kujenga jamii bora yenye maadili, ianzishwe tuzo ya kutunza ubikra

    Imesema nilete ushahidi wa thamani ya bikra. Nimekupa. Na wewe leta ushahidi wa thamani ya bwawa (kupoteza bikra kwa kudanga.)
  6. G

    Ili kujenga jamii bora yenye maadili, ianzishwe tuzo ya kutunza ubikra

    Achana na maigizo ya akina kajala. Hilo range uliliona? Bikra Ina thamani, soma hapa chini.
  7. G

    Elimu ya bure juu ya uhakiki wa ardhi wakati wa ununuzi wa ardhi

    Kuna viwanja vunakuwa vimepimwa na Halmashauri halafu vinatangazwa kwa wananchi ili wavinunue. Changamoto ni kwamba mwananchi analipia lkn siku ya kukabidhiwa unakuta ni eneo ambalo linajaa maji. Swali. Je, hakuna fursa ya kujiridhisha kabla ya kulipia ?
  8. G

    Ili kujenga jamii bora yenye maadili, ianzishwe tuzo ya kutunza ubikra

    Si unaonaga Kuna wanawake wanahongwa majumba, magari ya kifahari na wanafunguliwa mabiashara makubwa? Hawa Wana thamani . Halafu Kuna akina nyie mnahongwa buku, chips, bando, Kodi ya chumba, ama hata mnatoa k kwa mkopo. Hawa hawana thamani
  9. G

    Ili kujenga jamii bora yenye maadili, ianzishwe tuzo ya kutunza ubikra

    Kwani wewe ulizaliwa bila bikra mkuu? Kama bado unayo, kaa na mamako umuulize atakupa maelezo. Au kama hauna mama basi kaa na dadako au shangazi yako au rafiki yako atakuepeza faida za bikra. Lkn kama huna bikra maana yake malezi yako hayakuwa mazuri, na wewe mwenyewe utakuwa si mwanamke...
  10. G

    Ili kujenga jamii bora yenye maadili, ianzishwe tuzo ya kutunza ubikra

    Mwenye ridhaa ya kutoa ama kutokutoa mzigo ni msichana. Akiwa anatambua thamani ya ubikra wake akaamua kukataa, basi bikra itaendelea kuwepo.
  11. G

    Recap: Hapa Rais Samia uliteleza kwenye ulimi, ukiweza rekebisha kauli hii

    Kauli hii ya rais inachefua sana
  12. G

    Tetesi: Gari ya Tundu Lissu iliyoshambuliwa kutembezwa nchi nzima Wananchi washuhudie kama Tomaso!

    Ili jiwe asifanyiwe kumbukizi tena na serikali. Hata mwaka huu hakuna kiongozi wa maana aliyeenda Chato kwa ajili ya kumbukizi ya shetani jiwe.
  13. G

    Ili kujenga jamii bora yenye maadili, ianzishwe tuzo ya kutunza ubikra

    Kwann ukubali kutolewa bikra kizembe hivyo?
  14. G

    Ili kujenga jamii bora yenye maadili, ianzishwe tuzo ya kutunza ubikra

    Tukifanikiwa kuwajenga wasichana wasigawe k kabla ya ndoa itasaidia sana. Tabia ya mtu hujengeka utotoni. Ukubwani siyo rahisi sana kumdanganya mtu.
  15. G

    Ili kujenga jamii bora yenye maadili, ianzishwe tuzo ya kutunza ubikra

    Tuzo hii itakuwa kivutio kwa mabinti na itakuwa chachu ya mabinti kutunza usichana wao mpk siku ya ndoa. Tunzo hii iendeshwe nchi nzima kila ngazi "ngazi msingi" i.e kila kitongoji/mtaa. Vyeti vitolewe ili wavitumie kutafuta waume bora .
  16. G

    Mambo Manne Muhimu ya kuzingatia kabla ya kuoa au kuolewa

    Fafanua kidogo hapo kwenye uwiano wa nguvu, unamaanisha nini?
  17. G

    Hii salute ya Lisuu imenifikirisha!

    Lisu anaonesha funguo za gari yake kwa wananchi. Halafu Kuna kichaa anasema ni salute
  18. G

    ZANZIBAR: Kamati kuu ya Chama Cha Mapinduzi CCM kukutana kwa dharula Leo

    Kamati kuu ccm inakutana Zanzibar kujadili mapendekezo ya kamati ya maadili iliyomhoji na kumsikiliza Makonda kufuatia kauli yake kuwa kuna mawaziri wanamtukana rais Samia . Nipo hapa kwenye kikao, nitaendelea kuwajuza
Back
Top Bottom