Recent content by DON YRN

  1. DON YRN

    KERO Wauza viwanja na speaker mnazoweka barabarani mnasababisha kero au Noise pollution

    Na wale wanaotuamsha saa 10 usiku tuwaweke kundi lipi?
  2. DON YRN

    Bunge la Marekani laidhinisha kitita cha $ billion 60 kwa Ukraine

    Habari bila chanzo ni umbea tu
  3. DON YRN

    Uteuzi wa Makonda na hatma yake ndani ya Chama

    :cool: na mwenye ushahidi namba moja ni ww?. Achana na propaganda za wanasiasa, huwa zipo kuchafuana Sheikh. Siasa ni kama gangster's game yaani wins & loses na hapa namaanisha ukipoteza, mwenzio ana survive...
  4. DON YRN

    Dereva wa Basi la Mwendokasi adaiwa kuwapitiliza Vituo Abiria baada ya kukasirishwa

    Kwa maelezo uliyitoa hapo km ni ya kweli, sioni kosa la dereva...
  5. DON YRN

    Maeneo maalumu yenye kitimoto nzuri Mbezi Beach Tegeta na Kunduchi

    Kwa tegeta kuna sehemu panaitwa Useri Bar. Huyo jamaa ndo Agent wa kitimoto maeneo hayo ya tegeta na viunga vyake.
  6. DON YRN

    Mifuko ya viroba inahitajika

    Ndo niliyo nayo hii
  7. DON YRN

    Mifuko ya viroba inahitajika

    Aina hii itakufaa?
  8. DON YRN

    Mifuko ya viroba inahitajika

    Unahitaji iliyotumika ama mipya?
  9. DON YRN

    Hivi nyie wanaume mnawezaje kulea na kusomesha watoto wa wanaume wenzenu kwenye shule za private

    Unajitafutia ugomvi na singo mazas ww. Anyway, najazia tu; na usithubutu kupoteza hela zako kwa hiyo kausha damu, baba watoto asomeshe na usiingilie wajibu wa mwanaume mwenzio...
  10. DON YRN

    Mama anang’ang’ania kunifulia nguo zangu.

    Tatizo lilianzia hapa. Ukikua ataacha la sivyo una tabia za kike tu...
  11. DON YRN

    Baba na mwana wanapoacha majonzi katika jiji la Washington DC

    Yote kwa yote bwana John hatupo naye tena duniani
  12. DON YRN

    Maandamano ya kupinga ugumu wa maisha yanapozuia watu kujipatia riziki na kufanya maisha kuwa magumu zaidi

    Pointless na zero brain kabisa... Kipi bora kati ya kusababishiwa ugumu wa maisha na watu wachache kwa miaka zaidi ya 60 na kusababishiwa ugumu wa maisha na watu wengi kwa siku moja na baadaye maisha mengine yakaendelea?. Watoto wa kwenye mirija ya CCM tatizo lenu hamtumii akili kuwaza ninyi...
  13. DON YRN

    Hizi ishu za Mungu/Dini ni very complicated

    Lakini hapo hapo uwezekano wa Mungu kuwazuia hao wanadamu wasimuue yesu!
  14. DON YRN

    Putin: Urusi iko Karibu kuzindua Chanjo ya Saratani

    Habari bila chanzo ni umbea tu!
Back
Top Bottom