Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 38,457
- 80,802
Sawa sawa ..kuna tamthiliya fulani niliona channel ten inaitwa UNYOYA UNAOTAMBAA ili series ni wachina lkn mule ndani wanaonesha jinsi wanavyoiga vitu hadi kufikia hii china ya sasa ambayo inazalisha kila aina ya bidhaa ...humo utajua kuwa kuiga ni ngumu mno na utajifunza vingi sanauko sahihi kabisa, watu Wana chukulia creativity ni kitu chepesi kufanya.
Leo hii tuki uliza walio unda vitu au nadharia mpya, tuta chapana fimbo.
Mfano sekta ya teknolojia, Hakuna jipya zaidi ya kuboresha.
Nichukulie urushaji wa rocket, SI Ali Anza mrusi.
Kwanini mmarekani alipo fata, urusi haku lalamika.
Na alicho fanya marekani ni kuboresha, kwa kutuma rocket yenye mtu ndani Tresor Mandala