Recent content by Atalanta

  1. Atalanta

    NASA wajanja sana

    Copy na ku paste kutoka kwa Nyemo
  2. Atalanta

    Sitorudia tena kucheza mpira

    😅😅 Pole Sana mkuu
  3. Atalanta

    Sitorudia tena kucheza mpira

    Yeah Ila Cha Moto nilijiona siku Ile mkuu.
  4. Atalanta

    Sitorudia tena kucheza mpira

    Hongera mkuu Ila Mimi nilishindwa. Mpira ni kipaji Cha watu 😅😅
  5. Atalanta

    Sitorudia tena kucheza mpira

    Habari zenu wakuu Hope mko powa kabisa. Nimeona nipate ku share nanyi kisa hiki kilichowahi kunitokea miaka kadhaa iliyopita. Wakati nipo O level kidato Cha nne nilikua ni mtu mcheshi Sana darasani kwetu, kitendo kilichofanya nipate kuwa na marafiki wengi pale shuleni. wengine nilikua nawajua...
  6. Atalanta

    Msaada: Dawa ya fangasi

    Dawa inaitwa MLUTA nilinunua kwenye maduka ya dawa za Asili
  7. Atalanta

    Msaada: Dawa ya fangasi

    Yeah nishapona mkuu
  8. Atalanta

    Msaada kuhusu ku edit profile picture Ajira Portal

    Nilifanikiwa ndugu. Jaribu ku log out afu log in tena Kisha update profile picha yako itakubali. Ukiona inagoma jaribu ku clear cache "Kam unatumia simu" afu update tena itakubali.
  9. Atalanta

    Usije uka google dalili za Ukimwi kama unajihisi unao "Utakufa kwa presha"

    Habari zenu wakuu Hope mko powa kabisa. Kwanza naomba ifahamike kabisa kwamba kuwa na UKIMWI sio mwisho wa maisha kwakua wapo watu wengi wanaoishi na ugonjwa huu lakini bado wanaendelea kuishi vizuri kwa kufuata ushauri wa madaktari. Pia uzi huu haupo kwaajiri ya kuwanyanyapaa watu waishio na...
  10. Atalanta

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Wakuu samahani nahitaji msaada hapa kidogo. Unapo apply ajira portal baada ya kuandika barua unaandika Tena na CV ?? au CV inakua tu automatically Ile Ile ya pale uliyoitengeneza ajira portal ?? Nahitaji msaada kwa anaefaham tafadhari
  11. Atalanta

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Wakuu kwa aliyewahi kuomba ajira kwa kupitia Ajira portal hivi kwenye anuani ya mwandikiwa inakaa ipi ?? Ya sehem unayoombea " mfano Kama naomba nafasi ya kazi TRA naweka anuani ya TRA au naweka ipi " Msaada jamani.
  12. Atalanta

    Sitosahau mara yangu ya kwanza kuingia Barbershop

    😄😄 Mkuu wewe hiyo yako ndio Kali zaidi nimecheka Sana kusema ukweli.
  13. Atalanta

    Sitosahau mara yangu ya kwanza kuingia Barbershop

    Karibu nawe utusimulie mkuu naimani Kuna mengi ya kujifunza kwenye kisa chako, Maranyingi matukio Kama haya yanatokea wakati hauna kitu mfukoni au unakiasi kidogo Sana ambacho hakiwezi kukusaidia.
  14. Atalanta

    Sitosahau mara yangu ya kwanza kuingia Barbershop

    Nilichojifunza mkuu ni kuuliza bei sehem yoyote Ile kabla ya kupata huduma hasa unapojiona mfukoni haupo vizuri.
Back
Top Bottom