Stories of Change 2023

Awamu ya Tatu. Maudhui yanayolenga kuchochea mabadiliko chanya na kupelekea kuwepo kwa Uwajibikaji au Utawala Bora

JF Prefixes:

Miongoni mwa udhaifu mkubwa wa mfumo wa demokrasia ni nadharia yake ya 'wengi wape'. Nadharia maarufu ya utawala inayotaka kiongozi achaguliwe na kundi kubwa la watu bila kujali wasifu au uwezo wa...
13 Reactions
73 Replies
3K Views
Upvote 20
Maisha ya sasa duniani yamekuwa kama uwanja wa vita. Binadamu tumeendekeza maisha ya duniani na kujijengea himaya zetu kana kwamba tutaishi milele. Hebu jaribu kutafakari visa vinavyotokea kila...
10 Reactions
19 Replies
992 Views
Upvote 20
ELIMU YENYE MANUFAA 1.0 UTANGULIZI Mfumo wa elimu nchini Tanzania anakabiliwa na chngamoto nyingi kama vile matumizi ya muda mrefu katika kutafuta elimu, mrundikano wa masomo na mada zisizo akisi...
14 Reactions
34 Replies
3K Views
Upvote 19
Utangulizi Bima ya afya ni huduma ya mafao ya faida ya mfuko wa afya unao mrahisishia mteja kupewa huduma za kimatibabu wakati wowote anapohitaji huduma hiyo. Miongoni mwa huduma ambazo wateja wa...
16 Reactions
22 Replies
2K Views
Upvote 19
Tarehe 28 Machi 2022, Mahakama ya Rufani Tanzania (CAT) kupitia hukumu ya kesi ya Rufaa ya TANZANIA POSTS CORPORATION dhidi ya DOMINIC A. KALANGI (Rufaa ya Madai Na. 12 ya 2022) [2022]...
5 Reactions
8 Replies
773 Views
Upvote 19
Kuna ukakasi fulani kuhusu matumaini; yanakufanya uamini utamu unaowezekana- ikiwa tu uking’ang’ania zaidi- kabla hujavunjika moyo. Kisha yanachipua tena, na muda huu- kama tochi yenye betri...
17 Reactions
5 Replies
592 Views
Upvote 18
Utangulizi Ilikuwa ni majira ya saa 12 za asubuhi, baada ya kutoka zangu msalani, niliamua kusikiliza taarifa ya habari kutoka shirika la Utangaazaji la Ujerumani (DW Swahili) kama ilivyokuwa...
16 Reactions
26 Replies
1K Views
Upvote 18
Wakati Rwanda inajikita katika kuboresha Matumizi ya Tehama kila eneo ambalo limekuwa na changamoto ya Tehama, usambazaji wa Dawa( kwa ndege isiyo na Rubani, Usambazaji wa Damu maeneo yasiyofikika...
8 Reactions
40 Replies
2K Views
Upvote 18
Ni dhahiri kua mapambano dhidi ya Mifumo kandamizi umekuepo tangu zamanI baada tu ya harakati za kudai uhuru kumalizika, japokua wanawake walikua wakishiriki bega kwa bega na wanaume kudai uhuru...
14 Reactions
19 Replies
1K Views
Upvote 17
Picha: RF studio DIBAJI Uwajibikaji ni moja ya nguzo muhimu sana ya ustawi wa taifa lolote duniani. Hata maitaifa makubwa na yenye ustawi kimaendeleo kama Marekani yamezingatia uwajibikaji ili...
9 Reactions
11 Replies
709 Views
Upvote 17
Maendeleo ya nchi yoyote duniani yanahitaji mambo muhimu kama ifuatavyo: Ardhi, Watu, Siasa safi na Uongozi bora. Utawala bora na uwajibikaji vipo ndani ya siasa safi na uongozi bora...
9 Reactions
25 Replies
1K Views
Upvote 17
Picha; The chanzo. UTANGULIZI Nchi zote duniani ikiwemo Tanzania, hofu ya ustawi wa maliasili inazidi kuongezeka kutokana na wimbi la ongezeko la watu duniani na changamoto ya mabadiliko ya tabia...
4 Reactions
10 Replies
932 Views
Upvote 16
Uboreshaji wa Mfumo na Muongozo wa Utoaji wa Taarifa za Serikali nchini Tanzania. Utangulizi. Habari ndugu wana JamiiForums! Karibuni tujumuike katika chapisho hili lenye lengo la kuchunguza na...
3 Reactions
18 Replies
721 Views
Upvote 16
Picha: Swahilitimes UTANGULIZI Mara nyingi sana mataifa maskini yamekopa kwa mataifa yenye uwezo lakini hatukuwahi kuona nchi tegemezi zikijikwamua katika hali zake duni za kiuchumi kupitia...
8 Reactions
11 Replies
1K Views
Upvote 16
Picha na Ebony FM UTANGULIZI Nafasi ya upinzani katika kukuza uwajibikaji wa chama tawala ni tata na limedumu kuwa swala mtambuka. Vyama vya upinzani vinaweza kuchukua jukumu hili muhimu katika...
7 Reactions
16 Replies
411 Views
Upvote 16
Ni saa tatu za asubuhi, nikiwa nafua nguo nje ya nyumba yangu. Nashitushwa na ujio wa ghafla wa askari mgambo wanne wenye nyuso za shari shari wakiwa wameambatana na mwenyekiti wa mtaa. Japokuwa...
11 Reactions
6 Replies
3K Views
Upvote 15
Hisa ni nini Hisa ni sehemu ya umiliki katika kampuni. Kwa kumiliki hisa, mtu anakuwa mwekezaji katika kampuni na anapata haki za kifedha na kisera katika kampuni hiyo. Kuwekeza katika soko la...
9 Reactions
11 Replies
2K Views
Upvote 15
UTANGULIZI Ndugu msomaji wa MAKALA hii Utakubaliana nami kwamba neno "KUJIAJIRI" sio geni masikioni mwako, hususa ni pale linapo kugusa moja Kwa moja. Huenda Kwa nyakati fulani umelisikia neno...
10 Reactions
26 Replies
2K Views
Upvote 15
Habari! Ndugu wana JamiiForums, ni matumaini yangu kuwa sote tu bukheri wa afya. Leo hii ninapenda kuwashirikisha katika uzi huu unaoangazia tathimini yenye madhumuni ya kuibua njia madhubuti...
5 Reactions
15 Replies
425 Views
Upvote 15
Idara ya Usalama wa Taifa Tanzania (TISS) Ni Idara ambayo inamajukumu ya kukusanya, kuchunguza na kuchambua Taarifa na shughuli zote zinazohusiana na Usalama wa Taifa. Ikiwa ni pamoja na kubaini...
9 Reactions
102 Replies
7K Views
Upvote 15
Back
Top Bottom