Wosia wa Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere

ACHA wehu wewe
Acha chuki zako za kijinga wewe Huwezi Kumfananisha baba wa Taifa Mwalimu Nyerere na Kiongozi wowote Barani Afrika. Acha Upumbe Upumbe wako wewe bwana mdogo. Nyinyi vijana mliozaliwa kuanzia mwa 1990 kwenda mbele hamuwezi kumjuwa na kumtambuwa Baba wa Taifa alikuwa ni nani katika taifa hili na amefanya kitu gan mpaka nchi yetu hii imekuwa na amani .Kwa Sisi tuliozaliwa Miaka 1960 mpaka miaka ya 1980 tunamjuwa Baba wa Taifa ni nani katika nchi yetu huru na yenye amani barani Afrika .Bwana mdogo kama wew huwezi kumuelewa Baba wa Taifa Mwalimu nyerere utabisha ubishani wa simba na Yanga. Hujuwi kitu kuhusu nchi yako uliza upate kuambiwa.
 
Nimemshangaa Nyerere!!Sawa alifanya mazuri mengi Kwa nini alipoona msingi wake wa katiba unayumba asirekebishe na kuendelea kubaki vilevile??Hili ni kosa ambalo sitaweza kumsamehe period.
 
Hotuba ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere kuhusiana na Muungano wa Tanzania #59# ya Muungano.

Acha chuki zako za kijinga wewe Huwezi Kumfananisha baba wa Taifa Mwalimu Nyerere na Kiongozi wowote Barani Afrika. Acha Upumbe Upumbe wako wewe bwana mdogo. Nyinyi vijana mliozaliwa kuanzia mwa 1990 kwenda mbele hamuwezi kumjuwa na kumtambuwa Baba wa Taifa alikuwa ni nani katika taifa hili na amefanya kitu gan mpaka nchi yetu hii imekuwa na amani .Kwa Sisi tuliozaliwa Miaka 1960 mpaka miaka ya 1980 tunamjuwa Baba wa Taifa ni nani katika nchi yetu huru na yenye amani barani Afrika .Bwana mdogo kama wew huwezi kumuelewa Baba wa Taifa Mwalimu nyerere utabisha ubishani wa simba na Yanga. Hujuwi kitu kuhusu nchi yako uliza upate kuambiwa.
Kwa taarifa yako hakuna Rais aliiharibu nchi hii kuzidi Nyerere.
Kuanzia limuungano lisiloeleweka, kutuungiza kwenye vita kwa matakwa yake binafsi na kutuachia likatiba linalotutesa mpk hv ss ni baadhi tu ya maovu yake
 
Hakuna kiongozi hapo Tanzania anaye wezakumfikia baba wa Taifa

Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ingawa alikuwa na kasoro zake lakini ni Kiongzoi imara sana barani Afrika. Huwezi kumfananisha na kiongozi wowote barani Afrika baba wa Taifa.​

Na huo ndio ukweli mchungu kwa wabaya wake 🙏🙏🙏
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom