Wizara ya Mifugo na Uvuvi kutumia Tsh. 460,333,602,000 kwa mwaka 2024/25

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
2,925
12,208
Bajeti ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwa mwaka 2024/25

Jumla Kuu: Tsh. 460,333,602,000

Matumizi ya Kawaida: Tsh. Bilioni 97.21
➼ Mishahara - Tsh. Bilioni 44.84
➼ Matumizi Mengineyo - Tsh. Bilioni 52.36

Miradi ya Maendeleo: Tsh. Bilioni 363.11
➼ Fedha za Ndani - Tsh. Bilioni 242.07
➼ Misaada - Tsh. 121.03

Chanzo: Wizara ya Mifugo na Uvuvi
-
Idadi ya Mifugo iliyopo Nchini Tanzania hadi kufikia mwaka 2023

Kuku - Milioni 103.08
Ng'ombe - Milioni 37.9
Mbuzi - Milioni 27.58
Kondoo - Milioni 9.3
Nguruwe - Milioni 3.9

Chanzo: Wizara ya Mifugo na Uvuvi

Uzalishaji wa Mazao ya Mifugo nchini Tanzania kwa mwaka 2023/24

Nyama kwa Tani:
Ng'ombe - 612.80
Mbuzi - 134.40
Kuku - 132.44
Nguruwe - 55.91
Kondoo - 28.29

Maziwa kwa Lita:
Ng'ombe wa Asili - Milioni 2.63
Ng'ombe wa Maziwa - Milioni 1.29
Mbuzi - 34,694

Mayai:- Milioni 6.40

Chanzo: Wizara ya Mifugo na Uvuvi

Wizara ya Mifugo na Uvuvi imewasilisha Bungeni Bajeti ya Tsh. 460,333,602,000 zinazotarajiwa kutumika kwa mwaka 2024/25 ambapo Jumla ya Tsh. 97,215,432,000 ni za Matumizi ya Kawaida ikiwemo Mishahara na Matumizi Mengineyo

Pia, Wizara inatarajia kutumia Tsh. 363,118,170,000 katika Miradi ya Maendeleo ambapo kati ya Fedha hizo, Tsh. 242,078,803,000 ni Fedha kutoka Ndani (Serikalini) na Tsh. 121,039,367,000 ni Fedha za Nje ikijumuisha Mikopo na Misaada.
 

Attachments

  • 13_05_2024%20HOTUBA%20YA%20WIZARA%20YA%20MIFUGO%20NA%20UVUVI_%201.pdf
    4.6 MB · Views: 4
Back
Top Bottom