Waziri Bashe anachapa kazi kwelikweli pale Wizara ya Kilimo kiasi cha kuwa tishio Kwa kundi la wasaka urais ndani ya CCM wanapoona anawaovershine
Kwa sasa moja ya mbinu wanazotumia ni kumchafua kwenye mitandao ya kijamii.
Unapoona Kigogo anamchafua Bashe ujue ni sehemu ya mkakati huo.
Huwezi kusema Bashe anaua zao la korosho kule kwenye mikoa ya kusini badala yake ni huyu Bashe ndiye anayewalinda wazalishaji wa zao huku akiwashughulikia kwa vitendo wafanyabiashara wanaowanyonya wakulima.
Maadui wa Bashe hawana hoja na ndio maana wanatumia ubaguzi kumchafua.
Bashe ni Mtanzania mzalendo,ni mwana CCM mahiri,Mbunge wa Nzenga mjini na ni msomi mzuri.
Kukesha mitandaoni kujadili asili ya Bashe ni upuuzi uliopindukia.
Kwasisi tuliosoma anthropology na tunajua vyema historia ya Tanzania na Afrika kwa ujumla tunashangazwa kuona bado kuna watu wana elements za ubaguzi.ukijua haya huwezi kuwa mbaguzi.
Mfano hata hawa wanaomchafua Bashe ni wabantu-Hivi hawajui kuwa hata wabantu ni wahamiaji hapa Tanzania?
Hivi ni nani anaweza kuhoji uzalendo wa Profesa Issa Shivji? je tusema Shivji ni Mhindi? uhindi wake unatusaidia nini?
Shivji ni Mtanzania mzalendo.Period.
Acheni Bashe afanye kazi.anatutoa kimasomaso kutokana na anavyosimamia vyema sekta ya kilimo na program ya BBT
Threat kubwa
1. Biashara ya sukari kuitaka iwe liberal
2. kudhibiti minada ya mazao Kwa kuweka sheria inayozuia directo mmoja kuleta kampuni 10 kwenye dhabuni
3. kudhibiti biashara ya mbolea na viwatilifu
4. minada kuendeshwa kidigitali
5. mtetezi wa falsafa ya local content n.k