Watoto wa Mfalme Zumaridi wafika Mahakamani, leo Septemba 9, 2022

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,340
5,565
FcMrpaOXkAEXkll.jpg

FcMrpaSXkAAtO59.jpg

Watoto wa mfalme Zumaridi hii leo Septemba 9, 2022, wamefika Mahakamani kufuatilia kesi ya mama yao.

Zumaridi na wafuasi wake nane wanakabiliwa na kesi ya kujeruhiwa askari polisi na kuwazuia kutekeleza majukumu yao na inaendelea na ushahidi.

Source: EATV

Pia soma:
Mfalme Zumaridi aonesha kutokuwa na imani na Hakimu anayeendesha shauri lake

Shahidi kesi ya ‘Mfalme Zumaridi’ augua mahakamani, kesi yapigwa kalenda
 
Daaah ujinga wa mzazi wanaumia watoto, sitaki kusema mungu mke zumaridi hana kosa ila watoto wanatesek sanaa, umri walionao ndio mbovu wanaweza jikuta wako kwenye mambo machafu zaidi
 
Watu wana wivu... Mama wa watu kaamua kujipigia pesa za wajinga watumishi uchwara wakaona nongwa na kmufungulia kesi
Tatizo kavuka mipaka ya kula hadi tozo za Sirikali (H/Nyamagana).Yani halmashauri haikusanyi pato ila mama anaupiga mwingi hapo Mkolani makao yake makuu. Tozo ya Waziri mwenye dhamana unaila mbele ya wafuasi wake


Umeona wapi Mfalme anakuwa mwanamke? Nauliza tu!!


ZERO STOP
 
Apewe kifungo cha nje aachiwe akalee watoto wake hapo wanamweleza mama yao kuwa ada imekwama na hawajaenda skuli.Huyo ni mjasiriamali kama wengine amechangamkia fursa
 
Huyu zumarid hana mtandao na walamba asali yule aliyeua moshi sababu ya mtandao na walamba asali naona mambo safi kabisa huku wake wa walamba asali ndio wateja wake
 
Back
Top Bottom