Immortal Techniques
Senior Member
- Aug 9, 2023
- 168
- 311
Ni vyema Serikali ije na ukweli kuhusu NHIF na siyo maneno tu Shirika limezidiwa,
1. Wanachama mpka sasa ni wangapi?
2. Michango ya NHIF inayokatwa Kwa waajiriawa na waajiri inapelekwa Kila mwezi bila kukosa? Hii ni Kwa Government/Private sectors.
3. Ni kiasi Gani Kwa Mwezi NHIF inakusanya? Hapa tunaongelae mapato na matumizi.
Key points:
Watu Hawa ugui Kwa pamoja tunaomba kujua ni Kwa kiasi Gani shirika la NHIF linazidiwa kiasi Kwamba kutishia uhai wake na Afya za wachangiaji?
Isije kuwa pesa za makusanyo Kila mwezi zinafanya shughuli nyingine watu wanateseka, Tunahoji hili with reference na mifuko ya Pension pesa Serikali inazikopa domestic debt ni pesa za mifuko ya Pension mfano mpaka Dec 23 -2023, Mifuko ya Pension inadia Serikali Tzsh Tirilion 8. 5 SAWA na 27% mkaja na kikokotoo mifuko ya Pension Iko kwenye risk ni Unsustainable mkabadirisha Sheria lakini ukweli ni Serikali mnachota pesa Kila kukicha na ulipaji mdogo,
Sitaki kuamini mfuko wa NHIF Umezidiwa iwapo Kila mwezi makusanyo yanafanyika ipasavyo ni vigumu sana other wise mwenyewe details ukweli prove me wrong.
# Tunasema haya Kwa uchungu sana Leo mtu anadai Nssf mfano 2,000,000 mkataba wake umeisha anasumbuliwa ila Wanasiasa wapo tena ambao hawachangiii Nssf walikopa pesa za mifuko mnaumiza watu sana tujitathimi.