Waraka wa Maaskofu Katoliki kuhusu uwekezaji Bandarini wasomwa kanisani

Chanzo cha habari kilichiripoti tukio hilo sikuu hii ya leo kabisa tena siku tukufu ni gazeti la mwananchi, watu wamesikiliza kwa makini waraka huo na kuelewa nini kinaendelea nchiniView attachment 2722571
88e9c89499d4df560b14e66647faae32.jpg
 
Chanzo cha habari kilichiripoti tukio hilo sikuu hii ya leo kabisa tena siku tukufu ni gazeti la mwananchi, watu wamesikiliza kwa makini waraka huo na kuelewa nini kinaendelea nchiniView attachment 2722571
The Catholic church is the biggest financial power, wealth accumulator and property owner in existence. She is a greater possessor of material riches than any other single institution, corporation, bank, giant trust, government or state of the whole globe.

. Their wealth is so big that they could create sustainable social programs to end famine on Earth; they have the power and the means to oppose wars; they have the financial resources to create an Eco-friendly planet — the biblical heaven on Earth.
 
Mkitoka kuusoma kanisani uleteni na mtaani maana waumini wenu wengi hawaji kanisani kutokana na michango mingi.

Padri akitaka gari mnawachangisha waumini zenu.
Muumini akitaka gari mnamuombea.

Chululu zenu.
Mtaani utapelekwa kwenye jumuiya. Itakuwa kazi ya kamati tendaji ya jumuiya kuusoma kwenye jumuiya siku ya kusali au kwenye kanda/mtaa kwenye kusali pamoja jumuiya zinazoundakanda/mtaa huo zitasomewa na kamati tendaji za kanda/mtaa.!!
 
Back
Top Bottom