Wadau washauri Tigo Pesa ya Inonga ifuatiliwe

chiembe

JF-Expert Member
May 16, 2015
12,412
21,322
Na mimi naunga mkono, nashani sasa aondolewe kikosini, na mechi zilizobaki asicheze hata moja
Screenshot_20240420-191757.jpg
 
Timu letu bovu wala tusitafute kichaka na ile faulo iliyozaa penalty na kazi tigo pesa yake ifatiliwe? Mtu umeona kbsa inonga alishakuwa na plasta kwenye mguu na pale katoneshwa alafu unasema afatiliwe..

Badala useme wafatiliwe viongozi wanaosajili magalasa unataka afatiliwe inonga...wew nawe unashida kama try again
 
Inonga alivyoguswa tu ukaona benchika anatoa ishara ya sub sasa wewe unaleta habari gani hapa?
 
Matatizo ya simba ni haya
1: Timu ni mbovu
2: TIMU NI MBOVU
3: Timu ni mbovu
4: Timu ni mbovu
5: TIMU NI MBOVU
6:
Timu ni mbovu.
 
Hamna timu pale, badala ya kudeal na wanaohusika na suala zima la usajili na kufuatilia progress ya timu, juu Kuna shida.
 
Timu bora la Africa Mashariki na ya kati... Maana halisi ya siasa za Africa
 
Foreign players wa Simba inabidi waangaliwa kwa jicho la pili. They aren't truly professional. Wanajua kuwa msimu ukimalizika wanasepa. They have nothing to lose.

Local supporting staff nao wamechangia. Simba take stock of all your players and supporting staff and sack all whom they doubts with their loyalty and professionalism.

The sacked Brazilian coach was good but wasn't given the mandate to do what he wanted.
 
Back
Top Bottom