Wabunge/wawakilishi wote wa baraza la mapinduzi Zanzibar wanakuwa wabunge wa Bunge la JMT?

kwa hiyo kwenye Bunge la JMT wao wanaingia kufanya nini wakati wao wana bunge lao? Je kule zanzibar pia kuna wanaotoka huku bara?
Ahhahajaba unajitoa akili ? Sisi tukafanye nn kule ? Wao wanakuja muungano....lilia Tanganyika ......maana imemezwa JMT....wao wanakula raha tu hakuna kitu wanafanya wataongelea mambo Muungano wakati pia kule kwao kinaongelewa hicho hicho hakuna kitu wanafanya wanalala tuuuu
 
ok shukrani Mkuu nimepata angalau uelewa kidogo
 
Wanaingia kama watanzania kupanga mipango ya nchi na baraza la wakilishi wa bara hawawezi kuingia Maana lile linawakilisha wazanzibar pekee yao
okay asante kwa ufafanuzi, na Je wanaingia wangapi? au kila jimbo la huko linaleta mwakilishi?
 
Hapa ndipo Serikali ya Tanganyika inahitajika ili kuwepo na uwiano sawa wa wawakilishi!
Bunge la Tanganyika?
 
shukran mkuu Je kule wanachaguliwaje na wanakuwa ni wangapi au wawilikishi wote wa zanzibar pia ni wabunge wa JMT
Kule wanakuja kutokana na idadi ya majimbo ya uchaguzi, kama majimbo yapo 10 basi wanakuja 10, faida ya zanzibar jimbo moja linakuwa na wabunge wawili, mmoja anakuja bunge la dodoma mwingine ndio anakuwa mjumbe wa baraza la wawakilishi(ndio mbunge kwa znz)
 
shukran mkuu Je kule wanachaguliwaje na wanakuwa ni wangapi au wawilikishi wote wa zanzibar pia ni wabunge wa JMT
Hapana, wawakilishi ni wabunge wa bunge lao linaitwa Baraza la wawakilishi, ila wana wachagua wawakilishi 5, kuingia Bunge la JMT. Kila jimbo la Zanzibar lina mbunge wa Bunge la JMT na lina mwakilishi wa BLW.
Bunge letu lina wabunge 393, wabunge wa Zanzibar ni 55, 50 wa majimbo na 5 wa Baraza la Wawakilishi.
P
 
shukran sana
 
55 Mbona wengi sana ukilinganisha na ukubwa wake na idadi ya watu. Kwa upande wangu ningeona ili kupunguza matumizi wabunge 10 wengetosha na 2 wawe wanatoka baraza la wawakilishi.
 
Muda wa kukusanya maoni ya katiba mpya, peleka maoni yako.
P
 
Hapana, wawakilishi ni wabunge wa bunge lao linaitwa Baraza la wawakilishi, ila wana wachagua wawakilishi 5, kuingia Bunge la JMT. Kila jimbo la Zanzibar lina mbunge wa Bunge la JMT na lina mwakilishi wa BLW.
Bunge letu lina wabunge 393, wabunge wa Zanzibar ni 55, 50 wa majimbo na 5 wa Baraza la Wawakilishi.
P
Hivi P unaweza kuwaelezea hao wa5 wanaochaguliwa na baraza la wawakilishi kuja bunge la jamhuri kazi yao hasa ni ipi? Wana tija kweli?
 
Back
Top Bottom