Vipers siyo poa, kamng'oa Mazembe

Nasubiri wachambuzi uchwara waje na sababu za uongo uongo maana Mazembe kafanya pre season Zambia kacheza mechi za kutosha na kina Zesco, Azam na Red Arrows hao Vipers walikua kwao Uganda hawajaenda popote zaidi ya kuja kucheza bonanza na Yanga
 
Wachambuzi wengi hawajui mpira wana mawazo mgando kwamba lazima ushinde nyumbani.
Wana msemo wao wanakwambia "kwa mpira wa Africa lazima ushinde nyumbani".
 
Nasubiri wachambuzi uchwara waje na sababu za uongo uongo maana Mazembe kafanya pre season Zambia kacheza mechi za kutosha na kina Zesco, Azam na Red Arrows hao Vipers walikua kwao Uganda hawajaenda popote zaidi ya kuja kucheza bonanza na Yanga
Mazembe alichagua vibonde wenzake kwenye mechi za kirafiki Zesco, Red Arrows na Azam wote wameaga mashindano.
Yanga alicheza na akina Green warriors sasa cjui itakuwaje.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom