DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 18,722
- 47,513
Mtoto anajifunza kwa kuona na sio hayo matusi Makubwa unayomwabia na Viboko.
Kuwa mtu smart hakikisha Mwanao unamfanya anakuwa smart kwa mjengea Huwezo wa kusoma vitabu , kuhoji na kuwa na utamaduni wa kuhakikisha unampa Muda wa meditation akae peke yake Sehemu tulivu then uone Kama ajakaa sawa.
Viboko huko mashuleni na majumbani mnapoteza Muda na hizo bullying zenu mara mnawaita Mbwa, hiyo midomo yenu michafu na tabia zenu ndo zimezaa watoto wa hovyo.