Utajiri kupitia ufugaji

Ni Mbuzi au Nguruwe kama una eneo kubwa.
Hii mifugo inaliwa sana na haina magonjwa mengi. Weka na Bata pembeni.
 
ufugaji unaweza kukutoa ila siyo haraka, kuna mwamba kukushauri hapo juu ufuge nguruwe nakubaliana naye.

kama unamtaji na upo pwani au arusha fuga nguruwe kwa wingi, ila tafuta kwanza maarifa usiingie kichwa kichwa.
 
Members habari naweza kutajirika kupitia ufugaji na kitu gani Cha kufuga kitakachonitoa haraka
Anzisha mfumo wa ufugaji ng'ombe wa kienyeji wa kunenepesha (Feedlot system). Kila baada ya miezi 6 (Sita) unavuna na unaanzisha tena. Kwa mwaka utavuna mara mbili ukilinganisha na mtu wa kilimo cha mahindi atavuna mara moja tu kwa mwaka.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom