Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 445
- 757
Mwaka huu Infinix wametuletea series Bora kabisa ya simu mpya infinix Note 30 series zikiwa na feature kedekede ndani yake Leo ngoja tuzungumzie kuhusu ๐๐ป๐ณ๐ถ๐ป๐ถ๐
๐ก๐ผ๐๐ฒ ๐ฏ๐ฌ ๐ฝ๐ฟ๐ผ.
Infinix Note 30 pro specs:
Display AMOLED 6.78inches Fhd + 120Hz
Processor yake ni MediaTek Helio G99(MT6789)
Ram yake ni 8Gb + 8Gb = 16Gb
Storage 128Gb au 256Gb + sd. Card 1Tb
Main Camera yake 108Mp + 2Mp Sensor (Samsung HM6)
selfie Camera 16Mp + 2.0 (wide)
Battery 5000mah + 68W fast charging + 15W wireless reverse charging
Android version 13 + Xos 13 version
Gharama yake ni 680k
Rate yake ni 8.7/10
๐ก๐ฑ๐ฎ๐ป๐ถ ๐๐ฎ ๐ฏ๐ผ๐
Cha kuvutia Zaidi Infinix wameamua maana hii series Sio poa kwanza kwenye chaji usiwe na wasiwasi kabisa kuanzia kwenye kuhimili joto , kuingiza chaji ndani ya dakika 30 tu inaja.
Kioo chake sasa ni AMOLED display yenye kutizama kitu kwa Ubora tena kinalinda macho yako dhidi ya mwanga unaotoka kwenye simu pamoja na Jua usiombe utizame movies ni mashine.
Wamekuja na mfumo wa kuweza kushare chaji na jirani yako ambaye ameishiwa chaji kwa kugusanisha tu aina mambo mengi we fanya kugusanisha tu na simu nyingine unaweza kuomba kupunguziwa chaji.
Fingerprint Iko pembeni ya sehemu ya kuzima achana na fingerprint ya nyuma umekua wakala. Speaker zake hii ni moto maana Zina mfumo wa Jbl speaker unasikiliza kitu unapiga unasikia burudani.
Kwenye kupangusa usijali maana refresh rate ni kubwa Sana 120hz yenye kugusa bila shida yoyote pamoja na processor imara kabisa yani hii ni simu bhana ni moto.
Storage ni kubwa unahifadhi vitu unaweza sema hard disks kumbe simu kazi kwako. Ikiwa na android version 13 unaweza update mpaka 14ikitoka tu.
Kamera wamezidi kuwa imara sana hii inatoa picha sio picha tu ni perfect qualifications picture ni balaa.
View attachment 2647695View attachment 2647702View attachment 2647698View attachment 2647696View attachment 2647697View attachment 2647699View attachment 2647700View attachment 2647701