Ushiriki kwenye uzinduzi wa kiwanda cha kuunganisha malori na tipa

Apr 11, 2024
21
52
09/Mei/2024

Nilifanikiwa Kushiriki Katika Uzinduzi wa Kiwanda cha Malori Na Tipa, Kinachoitwa, "Saturn Corporation Limited", Kilichopo Wilaya Ya Kigamboni.

Mgeni Rasmi Katika Uzinduzi Huo wa Kiwanda, Alikuwa, Mheshimiwa Rais. Dkt. Samia Suluhu Hassan. Ambaye Aliwaelekeza Wenye Kiwanda Kukitumia Kiwanda Hicho Kuwa Na Masilahi Kwa Tanzania, Na Watanzania, Mfano; Upatikanaji wa Ajira Kwa Vijana, Na Ununuzi wa Baadhi Ya Malighafi za Uzalishaji wa Magari Kwenye Kiwanda Hiko, Kutoka Hapa Nchini. Pia, Alisema Kuhusu Utayari wa Serikali Juu Ya Kuweka Mazingira Rafiki Ya Uwekezaji Kwa Wawekezaji. Lakini Pia, Alikemea Suala la Ukiritimba.

Ulikuwa Wakati Mzuri ✍️.

NB : Natoa PONGEZI Kwa Ndugu Zangu Wote wa Wilaya Ya Ilala, Mlioupokea Mwenge, Tukakesha Nao Mnazi Mmoja, Na Bado Mkaukabidhi, Na Kuelekea Kigamboni Kuzindua Kiwanda Pamoja na Mheshimiwa Rais.... Hakika Ninyi Ni Wazalendo... Hata Kama Mlisinzia Kwenye Uzinduzi 🙌 Bado Mmeupiga Mwingi 👏

Naomba Kuwasilisha. ✍️
#KaziIendelee

56DCF839-DB4B-47E6-BEBC-6A28CF49F873.jpeg
 
Takataka nyingine hii, umeshiriki so what? Magufuli aliharibu sana utumishi wa umma kwa kuokota okota vijana wenye kujipendekeza kusifia mitandaoni na kuwateua kwenye utumishi wa umma. Amefanya sasa mavijana ya hovyo kutaka yaonekane yapate teuzi na hivyo kudidimiza fikra.
 
Punguza kuchamba. Acha vijana wenzako nao watafute fursa.
 
09/Mei/2024

Nilifanikiwa Kushiriki Katika Uzinduzi wa Kiwanda cha Malori Na Tipa, Kinachoitwa, "Saturn Corporation Limited", Kilichopo Wilaya Ya Kigamboni.

Mgeni Rasmi Katika Uzinduzi Huo wa Kiwanda, Alikuwa, Mheshimiwa Rais. Dkt. Samia Suluhu Hassan. Ambaye Aliwaelekeza Wenye Kiwanda Kukitumia Kiwanda Hicho Kuwa Na Masilahi Kwa Tanzania, Na Watanzania, Mfano; Upatikanaji wa Ajira Kwa Vijana, Na Ununuzi wa Baadhi Ya Malighafi za Uzalishaji wa Magari Kwenye Kiwanda Hiko, Kutoka Hapa Nchini. Pia, Alisema Kuhusu Utayari wa Serikali Juu Ya Kuweka Mazingira Rafiki Ya Uwekezaji Kwa Wawekezaji. Lakini Pia, Alikemea Suala la Ukiritimba.

Ulikuwa Wakati Mzuri ✍️.

NB : Natoa PONGEZI Kwa Ndugu Zangu Wote wa Wilaya Ya Ilala, Mlioupokea Mwenge, Tukakesha Nao Mnazi Mmoja, Na Bado Mkaukabidhi, Na Kuelekea Kigamboni Kuzindua Kiwanda Pamoja na Mheshimiwa Rais.... Hakika Ninyi Ni Wazalendo... Hata Kama Mlisinzia Kwenye Uzinduzi 🙌 Bado Mmeupiga Mwingi 👏

Naomba Kuwasilisha. ✍️
#KaziIendelee

View attachment 2986601
Wee Binti umeolewa?
 
Hongera sana.......unauza sana pia...hongera pia
 
Takataka nyingine hii, umeshiriki so what? Magufuli aliharibu sana utumishi wa umma kwa kuokota okota vijana wenye kujipendekeza kusifia mitandaoni na kuwateua kwenye utumishi wa umma. Amefanya sasa mavijana ya hovyo kutaka yaonekane yapate teuzi na hivyo kudidimiza fikra.
Hawa huwa ni mboga za wakubwa
 
Takataka nyingine hii, umeshiriki so what? Magufuli aliharibu sana utumishi wa umma kwa kuokota okota vijana wenye kujipendekeza kusifia mitandaoni na kuwateua kwenye utumishi wa umma. Amefanya sasa mavijana ya hovyo kutaka yaonekane yapate teuzi na hivyo kudidimiza fikra.
Naona umepaniki kana kwamba umetoka kujifukiza bangi huku ukishushia na gongo😃😃😃 .ukiwa na msongo wa mawazo jizuie kuandika na siyo kuja humu jukwaani kurukia watu kama mgonjwa
 
Muwe mnaangalia na mavazi ya kuvaa kwenye occasion kama hizo, unavaa kama mdangangaji wakati tunategemea uwe future leader wa taifa. Hapo hata kama unaonekana, profile yako inaanza kuwa dented na watu wa vetting kwa kuvaa nguo hazieleweki. Mtu unavaa kama unaenda jogging bhn
 
Back
Top Bottom