Ulizingatia nini na kujiridhisha mpaka ukaamua kufunga nae ndoa?

Usie na ndoa, si utulie tu ujifuze na kuchota uzoefu utakaokusaidia kuamua 🐒
Ila umemaliza ki vayolensi mkuu 😂😂 hujui hao ndo majority voters humu?

Kuna comment nishawahi soma eti "mtu mwenye mume huwezi mkuta mitaa ya j.f usiku wa manane (wanajiita walinzi 😂), asubuhi, mchana na jioni anarandaa" pipo zina gubuu.
 
Kataa ndoa wanavyopita hii Thread kama hawaioni yani shwaaaaa
Kuna mtu alisema watapita kimya kimya kama wanaaga mwili wa marehemu
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
 
Back
Top Bottom