Ukiwa na kiasi gani cha pesa kwenye wallet unakosa ujasiri wa kumtongoza mwanamke?

Wadiz

JF-Expert Member
Nov 10, 2022
5,535
11,398
Maisha ni pesa na pesa ni nguvu mojawapo ya ujasiri na kujiamini katika maisha ya mapenzi na mahusiano.

Binafsi nikiwa na pesa pungufu ya Laki moja siwezi thubutu kumchokoza demu, hata kama ni mkali vipi ntamsomea ramani tu kinyele bila swaga.

Nikiwa sina Laki moja na kuendelea kwenye wallet sijihangaishi na hisia za mademu kwenye anga za harakati.

Je vipi kuhusu nyie mabaharia wenzangu?

kiroho safi tupo nchi ya Lamama wetu.

Wadiz
 
It is all about Confidence,, tulianza kuwa na wanwake kabla hatujaanz kuwa na hela,, hizo mentality ndio zinawafanya kila siku myaone mapenzi mateso.Tuna tafuta hela kwa ajili ya kutunza familia zetu na kuish maisha bora sio kupita tunatongoza wanawake. Mkiambiwa nyinyi washamba hua mnamaind!!!!!
 
WhatsApp Image 2023-10-17 at 11.57.34.jpeg
 
Mia tano
 
Mshamba kawaida yake kulima mashamba ni hamna shida
 
It is all about Confidence,, tulianza kuwa na wanwake kabla hatujaanz kuwa na hela,, hizo mentality ndio zinawafanya kila siku myaone mapenzi mateso.Tuna tafuta hela kwa ajili ya kutunza familia zetu na kuish maisha bora sio kupita tunatongoza wanawake. Mkiambiwa nyinyi washamba hua mnamaind!!!!!
Yah Kabisa mzee kikubwa uweze kumaster Hiyo Pesa nakwambia haitooomba Hela yaani Kuna Vitu unatakiwa uongee pisi itakuwa Ngumu kukupiga kizinga labda ukae kishamba Tu.
 
Maisha ni pesa na pesa ni nguvu mojawapo ya ujasiri na kujiamini katika maisha ya mapenzi na mahusiano.

Binafsi nikiwa na pesa pungufu ya Laki moja siwezi thubutu kumchokoza demu, hata kama ni mkali vipi ntamsomea ramani tu kinyele bila swaga.

Nikiwa sina Laki moja na kuendelea kwenye wallet sijihangaishi na hisia za mademu kwenye anga za harakati.

Je vipi kuhusu nyie mabaharia wenzangu?

kiroho safi tupo nchi ya Lamama wetu.

Wadiz
Sitembei na pesa ,, mfukoni haizidigi 30k sa nyingine 20k

Naweza omba namba mtu yoyote sababu kwa acc Nina milion 224 hivo siwazi
 
Yaan mm nkiwa na njaa tu ndy nakosa hzo nguv za

kumtongoza manzi ila nkshba nakuw najiamn knoma hata

awe mzur kama.malaika kwan akinikataa iko nn kwngusina

cha kupoteza

Nawasilisha
 
Back
Top Bottom