Ukigundua girlfriend anachepuka, huwa mnasuluhisha vipi hizi kesi?

lynch

JF-Expert Member
Jul 30, 2015
293
247
Habar za mida wana MMU...nimekuwa msomaj mzur wa thread za watu humu na kutoa support ya ku comment nyuz zao.ss na mm yamenikuta nisiyoyatarajia

Kwa mfano ukagundua girL wako ana chepuka na njemba nyingine huwa mna soLve vp hiz ishu maana nahs najikuta nakosa jib sahihi kwa bishost@nawaza kumpiga chin nako naona haisaidiii,,,nawaza kukaa niongee nae napo naona atarudia kuLekuLe tuu.

Wana jamvi naomben mnipe njia stahik ambayo inayofaa kwa maamuz niendayo kuyachukua@@Bare on yu mind that evidenc zotee za bibie kucheat ninazo kuanzia pictr mpk convsation zao wotee

#nawasilisha
 
Kwanza unajiangalia wewe mwenyewe msafi? Ukishaifikiria tabia yako kwa undani sasa ndo unaweza kufanya maamuzi kama utaendelea nae au Uttachana nae kwasababu huwezi kumvumilia.
 
Mpe enough time na huyo jamaa kwa kumuacha

kama huyo jamaa anamfaa akamuoa utakua umemsaidia kumpa mtu sahihi amuoe

kama huyo jamaa atampiga chini akajutia utakua umemsaidia kumuonesha dunia ilivyo

ikitokea mmerudiana nae atajifunza...na wewe pia jichunguze

anza mazoezi au anza kuhonga kama ulikuwa hufanyi hivyo

wanawake mbele ya good sex na kuhongwa ni mbwa mbele ya chatu
 
Hahhahaha nimependa hizo conditions mbili, good sex na kuhongwa!
 
Mpe enough time na huyo jamaa kwa kumuacha

kama huyo jamaa anamfaa akamuoa utakua umemsaidia kumpa mtu sahihi amuoe

kama huyo jamaa atampiga chini akajutia utakua umemsaidia kumuonesha dunia ilivyo

ikitokea mmerudiana nae atajifunza...na wewe pia jichunguze

anza mazoezi au anza kuhonga kama ulikuwa hufanyi hivyo

wanawake mbele ya good sex na kuhongwa ni mbwa mbele ya chatu

Asante sanha kiongoz
 
Habar za mida wana MMU...nimekuwa msomaj mzur wa thread za watu humu na kutoa support ya ku comment nyuz zao.ss na mm yamenikuta nisiyoyatarajia

Kwa mfano ukagundua girL wako ana chepuka na njemba nyingine huwa mna soLve vp hiz ishu maana nahs najikuta nakosa jib sahihi kwa bishost@nawaza kumpiga chin nako naona haisaidiii,,,nawaza kukaa niongee nae napo naona atarudia kuLekuLe tuu.

Wana jamvi naomben mnipe njia stahik ambayo inayofaa kwa maamuz niendayo kuyachukua@@Bare on yu mind that evidenc zotee za bibie kucheat ninazo kuanzia pictr mpk convsation zao wotee

#nawasilisha

If you really love her then mpe second chance after kuongea naye!
 
Whether you're one hella reasonable dude, or one hella pussy-whipped muhfreaker. Either way, you know what's best for you. Good luck brother.
 
Huwezi kusolve tatizo kama hujui mzizi wa tatizo ni nini. Kila kitu kina sababu katika kutokea kwake. Ukishafanya uchunguzi yakinifu na ukagundua tatizo ni wewe, basi jirekebishe. Kama ukiona kuna tatizo kwake, kaa nae chini umweleze. Akikubali it's ok akikataa usichoke.(Kama kweli unampenda). Shirikisha baadhi ya ndugu zake anaowaheshimu ili wazungumze naye. Akishindwa kuelewana nao basi mpe muda kama miezi 2 huenda akajirudi. Asipojirekebisha basi piga chini.
Ila mkuu usijiwekee 100% kama yeye ndo mkosaji. Huenda na wewe ukawa sehemu ya TATIZO. Jiangali;
1.Unamfikisha vizuri
2.Una pesa ya matumizi
3.Unamjali?
4.Huyo anayemfata unahisi kakuzidi nini?

Niishie hapo kwa leo!
 
Kama Una access ya mkwanja punguza ubahiri na uoneshe kumjari kwa outings adimu ambazo hajawai zipata shopping kwa sana.pia kitandani ongeza juhudi Kama ulikua unategea mchezoni.ata anza kubadilika lkn sio ghafla Kama unavyotarajia husisau pia kuketi nae chini kumpa ushauri wa kutosha.nakuhakikishia baada ya miezi kadhaaa atarudi kwenye himaya yako
 
Roger that....
 
Asante sanhaaa mkuu
 
Back
Top Bottom