Tanzanian traditional local foods

Tukubaliane kwamba mkuu Uzi wako ungesema tu chakula anachokula mtanzania bila kutumia neno asili(tamaduni)

Nambie mayai yasiyokuwa na baba nayo yanaingia kwenye asili na hao kuku broiler? Vingi umejitaidi sana lkn pia umechemka mnoo
 
Kabisa kabisa nijaze picha ya vyakula kwenye simu yangu? Au unataka ni download chakula then ni subiri uzi wako Kwa ajiri ya kupost?

Elewa kuwa broiler au kuku wa mayai ulio post humu hata miaka 20 hawajamaliza Tz tangu waanze kufugwa mkuu huo uasili wao unatoka wapi? Tikiti ni hybrid Bado nikubali ni kitu Cha asili hiko? Licha ya kuwa hybrid Bado sio tunda asili la tz
Ni rahisi tu, taja hivyo vyakula unavyohisi ni asili yetu na havijawai kupostiwa humu na pia ubandike na picha zake humu na kama uwezi kufanya hivyo..jua huna haki yeyote ya kunipangia cha kupost ikiwa mwenyewe huna mchango wowote kwenye uzi huu
K
 
Mkuu uhakika kabisa tikiti ni tunda asili hapa Tanzania?

Mimi Kwa uelewa Wangu na nilivyo kuelewa ulimnlanisha chakula asili na Cha utamaduni wa mtanzania.

Hivyo nilitegemea kuona makande,mtori,viazi,ugali nk.

Mfano huku usukumani Kuna mboga kama msasa
Mgagani,kisamvu, Kuna vingi nafahamu kilugha tu na si Kwa kiswahili. Seriously kabisa utumbie tambi au chapati ni utamaduni wa mtanzania? Chips Ili Hali Kuna watu Hadi Leo hii hawakijui mkuu!!

Uliza mtanzania yeyote kuhusu ugali au makande nani asiyejua? Uliza kuhusu tambi watu wa vijijini hukoo.
Kumbe wakuja kwenye uzi huu, wakongwe hawawezi kubishana kama hivi kidogo nishangae, hivyo vyote unavyoviongelea karibia vyote vimepostiwa humu tena kwa kubainisha mikoa na makabila na vyakula vyao na hamna kipya unachokifikiria akijawahi fanyika unachotakiwa kufanya ni kuchukua muda wako kufungua kurasa moja baada ya nyingine kuni-prove wrong.
 
Ni rahisi tu, taja hivyo vyakula unavyohisi ni asili yetu na havijawai kupostiwa humu na pia ubandike na picha zake humu na kama uwezi kufanya hivyo..jua huna haki yeyote ya kunipangia cha kupost ikiwa mwenyewe huna mchango wowote kwenye uzi huu
Talari(sungwi)
Bung'ho
Nondwa.
Gumbalu.
Pilipili kichaa siyo hzo za mwendo Kasi
Matango Yale ya mviringo(limbe)

Mboga
msasa
Siagi
Chubhu(mboga hii inapikwa Kwa unga na mafuta ya ng'ombe tu"samli" bila kuwekwa chumvi) Bado ikawa tamu
Mnyiholo(majani ya maboga yaliyo kaushwa then yakasagwa na kupikwa)
Mnafu
Mgagani
Mkuu vipo vingi vingine Hadi nikumbuke akipita hapa msukuma atanisaidia baadhi ya majina Kwa kiswahili
 
Juisi ya chungwa
FB_IMG_17151617130635827.jpg
FB_IMG_17151616863104744.jpg
FB_IMG_17151617052632049.jpg
FB_IMG_17151616956699195.jpg
FB_IMG_17151616911734597.jpg
 
Hayo mayai ya kisasa uliyopost na miguu ya wale broiler ni chakula Cha asili mkoa Gani?
Kumbe wakuja kwenye uzi huu, wakongwe hawawezi kubishana kama hivi kidogo nishangae, hivyo vyote unavyoviongelea karibia vyote vimepostiwa humu tena kwa kubainisha mikoa na makabila na vyakula vyao na hamna kipya unachokifikiria akijawahi fanyika unachotakiwa kufanya ni kuchukua muda wako kufungua kurasa moja baada ya nyingine kuni-prove wrong.
 
Talari(sungwi)
Bung'ho
Nondwa.
Gumbalu.
Pilipili kichaa siyo hzo za mwendo Kasi
Matango Yale ya mviringo(limbe)

Mboga
msasa
Siagi
Chubhu(mboga hii inapikwa Kwa unga na mafuta ya ng'ombe tu"samli" bila kuwekwa chumvi) Bado ikawa tamu
Mnyiholo(majani ya maboga yaliyo kaushwa then yakasagwa na kupikwa)
Mnafu
Mgagani
Mkuu vipo vingi vingine Hadi nikumbuke akipita hapa msukuma atanisaidia baadhi ya majina Kwa kiswahili
Karibia vyote ulivyotaja nishavipost humu hivyo siyo kazi yangu kukutafutia, nina post zinaelekea kufika 2k na picha ambazo sijui idadi yake hivyo ni juu yako mwenyewe kuenjoy kuperuzi na utajua sikufungi kamba bali kila unacho-assume hakipo kipo humu kuna kimoro,kichuri, vyakula vya kimasai,kiha,nyasa,kigogo,nyiramba,hehe, kimakonde, kipare, kichaga n.k
 
Dunia ya leo watu wengi hufanya utalii wa ndani au wa nje ya nchi zao si kwa ajili ya vivutio vya asili vya mazingira na majengo tu bali kwa ajili ya kufurahia utalii wa vyakula vya asili na tamaduni za jamii mbalimbali.

Kama watanzania ni fursa kwetu pia kutangaza na kujivunia vyakula vyetu vya asili na vya kitamaduni, kwani Tanzania tumejaaliwa sana kuwa na vyakula vingi vya asili na vyenye ladha nzuri pengine kuliko nchi yeyote ile barani Afrika.

Ningeomba kupitia uzi huu yeyote yule mwenye picha nzuri ya chakula cha asili cha kitanzania na jina la chakula chenyewe iwe ni kiswahili au kikabila asisite kutupia hapa ili tusaidiane katika kuutangaza utamaduni wetu.
 
Attachments

  • IMG-20180614-WA0000.jpg
    IMG-20180614-WA0000.jpg
    93.3 KB · Views: 2
Hayo mayai ya kisasa uliyopost na miguu ya wale broiler ni chakula Cha asili mkoa Gani?
Swali ni je, hivyo vyakula vinaliwa Tanzania au vinaliwa katika nchi ya kigeni pekee yake?

Na kama ni kweli unakula vyakula hivyo kila siku au kila mara (hata kama asili yake si katika nchi yako) mfano wali/pilau/viazi mviringo/tambi n.k
je haitoshi kusema kuwa vyakula vya namna hiyo vimekuwa sehemu ya utamaduni wa ulaji wako?
 
Asili daima itabaki kuwa asili. Utamaduni wako wa kitanzania daima utabaki hivyo. Tofauti na hapo utahesabika umeiga utamaduni wa wazungu,waarabu au wahindi nk

Huwezi sema Sasa kuku wa kisasa ni Moja ya utamaduni wa mwafrica never
Swali ni je, hivyo vyakula vinaliwa Tanzania au vinaliwa katika nchi ya kigeni pekee yake?

Na kama ni kweli unakula vyakula hivyo kila siku au kila mara (hata kama asili yake si katika nchi yako) mfano wali/pilau/viazi mviringo/tambi n.k
je haitoshi kusema kuwa vyakula vya namna hiyo vimekuwa sehemu ya utamaduni wa ulaji wako?
 
Ebana Undava king nimekuvulia kofia kwenye hii ishu, umetisha sana ndugu yangu... Ww tuletee vitu, post tu misosi wengine kama Mimi hupita kimyakimya.
 
Ebana Undava king nimekuvulia kofia kwenye hii ishu, umetisha sana ndugu yangu... Ww tuletee vitu, post tu misosi wengine kama Mimi hupita kimyakimya.

Hongera kwa kufuatilia na asante kwa support yako, nawaahidi ntaendelea kutupia picha nzuri za vyakula vya nchi yangu pendwa ya Tanzania kwa sababu kwangu ni sehemu ya furaha kufanya hivyo nasijisikii kuchoka au kukatishwa tamaa.
 
Back
Top Bottom