SoC04 Tanzania ijayo ili iwe bora lazima lazima ifanyiwe mabadiliko katika sekta hizi

Tanzania Tuitakayo competition threads

Saidi malolo

Member
May 2, 2024
17
11
Andiko linausu Tanzania tuitakayo

Tanzania tuitakayo iwe bora katika mambo yafuatayo ni lazima tuifanyie mabadiliko katika sehemu zifuatazo ambazo ni.

Afya: Tanzania kma nchi ni lazima tufanye mabadiliko katika sekta hii ya afya hili tumpunguze adui mkubwa wa umasikini ambaye ni magonjwa kwenye afya katika miaka mitano ijayo ss kma nchi tufanye mabadiliko sehemu zifuatazo

- Huduma ya afya ipatikane maeneo yote nchini ata vijijini ambako kwasasa uduma ya afya ni duni hivyo kma nchi ni lazima tufanye mabadiliko kwa kujenga vituo vya afya .zahanat na hospital za kanda hii itasaidia nchi kupambana na magonjwa mbalimbali

- Kuongeza wataalamu wa afya kama nchi kwa sasa tunauhaba na wataaramu wa afya kwama vile
Madktari,na wahudumu wa afya katika miaka mitano ijayo Tanzania lazima tuwekeze katika kupata waaramu wengine wa kisasa ambao watakuwa na uwezo wa kuongoza vifaa vya kisasa vya afya

NISHATI: Katika miaka mitano ijayo Tanzania ni muhimu tufanye mabadiliko katika sekta ya nishati kwani katika dunia ya leo nishati ni kiungo muhimu katika maendelek ya nchi hivyo kma serikal lazima ifanye mabdiliko katika sekta hii katika sehemu hizi .

- Kutengeneza miundombinu mipya ya nishati kwa mfano nishati ya gesi ,umeme wa joto la ardhi,umeme wa upepo ,umeme wa maji kwani miundombinu hii itasaidia katika mabadiliko ya nchi kwa kuongeza uzalishaji na atimaye kupunguza umasikini

- Kupunguza bei ya umeme . Katika miaka mitano iyajo Tanzania kma nchi ni lazima tupunguze bei ya umeme hii itasaidia kuongeza uzalishaji na kuongeza uwezo wa wananchi kujiajiri kwa kuanzisha biashara mbalimbali kwa sababu bei ya umeme kuwa juu ni moja ya chanzo cha umasikini nchini

- Kuongeza upatikanaji wa umeme wa uhakika kama nchi katika miaka minne au mitano ijayo ni lazima tubadilike kwa kuakikisha nishati ya umeme inakuwa ya uhakika na ipatikane maeneo yote nchini mijini na vijijini

ELIMU: Elimu ni nyenzo muhimu katika maendeleo ya nchi katika miaka mitano ijayo nchi ni lazima tufanye mabadiliko katika sekta hii ya elimu kwa kufanya mamb yafuatayo

- Kutengeneza sera imara ya elimu .sera ya elimu iliyopo kwa sasa nchni aiendani na uhalisia ulipo nchini hivyo kma nchi ni lazima ifanyiwe mabadiliko hili tuendelee

- Kuongeza upatikani wa elimu bila malipo kwa ngazi ya elimu ya juu kuna wimbi kubwa la vijana wengi kushindwa kumalidha elimu ya juu asa katika kada ya afya kwa sababu malipo ya ada katika kada iyo ni makubwa katika miaka mitano ijayo ni lazima tufanye mabadiliko katika hili tuongeze wataaramu na wasomi

AJIRA NA KAZI: kwa kipindi sasa nchini kumekuwa na wimbi kubwa la watu wasio na ajira hivyo katika miaka mitano ijayo nchi ni lazima tufanye madiliko katika sera yetu ya ajira na kazi katika sehemu zifuatazo

- Kuwawezesha vijna uwezo wa kujiajiri sera yetu ya elimu iliyopo aifundishi kujiajiri wara kujitegemea hivyo katika miaka mitano ijayo ni lazima tutengeneze sera imara ya ajir itakayowawezesha vijna kuwezo una uwelewa wa kujiajiri

- Kuwaamini vijana wa kitanzania katika utekelezaji wa miradi mbalimbali hii itasaidia vijana kupata ajira

- Kuwawezesha vijana kwa kuwawekea mazingira laisi ya kupata kupata kazi na ajira kama vile
Kuandaa miradi mbali mbali ambayo vijana watakuwa wanajifunza na uku wanapta kipato
Mfano kwa sasa (BBT) chini ya wizara ya kilimo
 
NISHATI: Katika miaka mitano ijayo Tanzania ni muhimu tufanye mabadiliko katika sekta ya nishati kwani katika dunia ya leo nishati ni kiungo muhimu katika maendelek ya nchi hivyo kma serikal lazima ifanye mabdiliko katika sekta hii katika sehemu hizi .
Hakika

Kuongeza upatikanaji wa umeme wa uhakika kama nchi katika miaka minne au mitano ijayo ni lazima tubadilike kwa kuakikisha nishati ya umeme inakuwa ya uhakika na ipatikane maeneo yote nchini mijini na vijijini
Ewaaaaah, namna hiyo bro

Kuwaamini vijana wa kitanzania katika utekelezaji wa miradi mbalimbali
Hapa, tuweke pande zote, maana kuaminika mtu anakustahili, haitolewe tu kama zawadi. Vijana wawe waaminifu na miradi iwaamini. Kimsingi tu UAMINIFU utawale
 
Back
Top Bottom