Submeter za Kisasa. Wakazi wa Mbeya tumewafikia

Oct 24, 2018
8
9
CATHERINE.jpg
 
Umeme wa Tanesco ni shilingi 321,000. Sasa wewe unauza Mita 150,000 si bora tumailzane na Tanesco tu.
 
Iwapo unao Wapangaji kadhaa, na Wanapitia changamoto ya umeme wa kushare nafikiri hii ni suluhisho muafaka...!

Tatizo ni bei, mbona kubwa hivyo?
 
Back
Top Bottom