Financial Intelligence
Senior Member
- Sep 29, 2023
- 156
- 336
Chief Executive Officer wa PPP Tanzania Bwana David Kafulila amesema Serikali ya Rais Samia Suluhu imeamua kuzika kabisa tatizo la Umeme Tanzania.Pamoja na Bwana la Mwl Nyerere (SG) baada ya kukamilika kwake litatoa jumla ya Mega Watt 2,100 bado kama Taifa tunahitaji kuimarisha zaidi upatikana wa Umeme nchini kupitia vyanzo mbalimbali kwani Nishati ndio karibu kila kitu.
Kafulila katika kipindi Cha DK 45 Cha ITV ameuambia umma wa Watanzania kwamba juhudi za Serikali ya awamu ya sita ni kubwa katika kuhakikisha Taifa linakimbia kimaendeleo kwani tayari kunawawekezaji kwa njia ya UBia na Serikali wameshaonesha nia ya kuwekeza Umeme wa Upepo na Jua Singida, Shinyanga, Dodoma & Same.
Kama haya yote yalikwama tangu enzi na enzi na Leo Mama anayafanya lazima tukatae Ubaguzi na kubaguana kwa namna yoyote ile katika Taifa letu.
#SAMIAMITANOTENA.