Siku 32 baada ya kumaliza PEP

flynn05

Member
Apr 7, 2024
49
43
Wakuu nlileta kisa hum baada ya kusex na binti anaetumia dawa na hakuniambia, ila siku anakuja mda ulikua umeenda sana na nlitakiwa kuwahi kazini..so kwenye ile sex nlifanya chini ya dakika 2 nkawa nmemaliza ila baadae nkaambiwa alikua mgonjwa, ilikua siku iyo iyo kama masaa 3 baadae, ko ikabidi asubuhi yake niende hospital ya BUGANDO nkajieleza nkapimwa nikawa NEG nkapewa PEP ikiwa ni masaa 13 toka nifanye nae sex... dawa zimeisha nlipewa vidonge vya siku 30 na leo ni siku ya 32 nimepima asubuhi hii, na majibu ni haya👇🏾.... je nipime lini tena kwa uhakika zaidi... ila wallah nkiondokana na hili naoa au nakaa mwenyewe mazima bora niwe najichua tu🥹 nimewaogopa sana wanawake, nilimkosea sana MUNGU🙏🏼
 

Attachments

  • 20240428_072211.jpg
    7.9 MB · Views: 4
flynn05
Pima baada ya siku 90 tena,lakini kupata maambukizi inategemea pia michubuko au wingi wa virusi alivyo navyo na group la damu ulilopo wata wa 0+ huwa ni ngumu virusi kuonekana mapema.
 
Kimsingi thread za HIV zimekuwa ni nyingi sana siyo mbaya ila nadhani tujitahidi kutumia kinga vile vile tupunguze zinaa.
Mbili kumi na nne DRC kipindi mshenzi hafai kunguru anang'oka kuna mambo unavuka unashukuru tu.

Tuepuke zinaa wanangu
 
Back
Top Bottom