Kamba Hilo daraja hapa lenye km 163 kina chake hakijafikia hiyo 1.4km?
View: https://youtu.be/Ey6qfDTloLw?si=Fio3Q8867KcynYb1
Matetemeko yamekaa huko Japan na China Kila mwaka na hawajaacha kujenga miundombinu mikali sembuse Tzn ambayo Kuna dead tectonic lines?
Sijafuatilia kina cha nguzo za hilo daraja.
Ila tambua unaizungumzia nchi ambayo haina teknolojia hiyo bro.
Hao ulioleta daraja lao hao wanaweza ku minimize cost kwa kutumia wahandisi wa ndani.
Mathalan China wao hutumia wahandisi wa ndani,bila shaka hilo daraja uloleta lipo China maana sijafungua video.
Ila mkuu unazo pesa za kulipia hiyo teknolojia!?
Tuache utani hapo itatumika pesa ndeeefuuuuu saaaanaaaaaaa.
Je tunao huo ubavu!?