Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 44,448
- 105,437
Inahusu nini hiyo?Nili mix kidogo, Nili maanisha fall out
Inahusu nini hiyo?Nili mix kidogo, Nili maanisha fall out
Niliona mwanzoni tu, watu wana uana tu, Nika achana nayo.Inahusu nini hiyo?
Hujacheki mpaka leo mkuu?Person of interest nimeipenda description yake ngoja nimalizane na Power kisha nitaianza hiyo
Huwezi amini yani hadi mwenyewe najishangaaHujacheki mpaka leo mkuu?
NIpo na Shogun iko vzrTafuta zilizowekwa pitia post za nyuma bosi
Ukitumia iphone ndio kuna upuuzi huo.Nitajie jina mwaya, sie wa App tunateswa picha hazifunguki
Ulikataaaa hiyo 😅😁😁Person of interest nimeipenda description yake ngoja nimalizane na Power kisha nitaianza hiyo
Itafute Ina story nzuri sanaNiliona mwanzoni tu, watu wana uana tu, Nika achana nayo.
Sema Ina rating kubwa
Tena nakumbuka nili wekega post yake hap, Jamaa aka bisha 😂😃Ulikataaaa hiyo 😅😁😁
Nakumbuka kaka 😂😁😁😁 Leo hiii ana isifia 😂😁😁😁😁Tena nakumbuka nili wekega post yake hap, Jamaa aka bisha 😂😃
Kaka wewe endelea lusikiliza ngoma za kina ja rule tu, pigo za Eminem SI uli zi pondea😃.Person of interest nimeipenda description yake ngoja nimalizane na Power kisha nitaianza hiyo
Basi tumwombee msamaha kwa director 😃😆Nakumbuka kaka 😂😁😁😁 Leo hiii ana isifia 😂😁😁😁😁
Kabisa naunga mkono hoja series nzuri sana ileeeBasi tumwombee msamaha kwa director 😃😆
Mwenye link ya ku download hii movie naomba aiweke hapa View attachment 2975710
Sio kweli MzeeUlikataaaa hiyo 😅😁😁
Mzee USI bishe, nili weka post Humu, Tena uka sema hakuna kitu hapo.Sio kweli Mzee
MnanisingiziaKaka wewe endelea lusikiliza ngoma za kina ja rule tu, pigo za Eminem SI uli zi pondea😃.
Nakumbuka nili sema Humu, ila uka sema ni series mbovu mno, Leo Kiko wapi 😆
Utakuwa umechanganya IDMzee USI bishe, nili weka post Humu, Tena uka sema hakuna kitu hapo.