Safety and emergency settings in your phone

Kigi Makasi

JF-Expert Member
Oct 4, 2022
958
1,865
Happy union day everyone!

Leo nimewaza hiki kitu nikaona si vibaya kushare kinaweza kumsaidia mtu mahali.

Hivi ulishajiuliza incase umepata emergency yoyote mahali, ikatokea hujielewi, watu watakusaidiaje?

Mfano, umepata ajali, au umepoteza simu yako.

Maana simu zetu muda wote zinakuwa na passwords kila mahali, so mtu mwenye nia ya kukusaidia atakuwa amebaki na simu yako akisubiria ipigwe ndo atoe taarifa flan... Imagine

Kumbe! unaweza ukafanya settings kwenye simu yako, ukaweka baadhi ya namba za watu muhimu kwako kwenye emergency numbers, kiasi kwamba mtu anakuwa hahitaji password ya simu yako kumpigia huyo rafiki au ndugu yako kumpa taarifa.

Unafanyaje?
Inategemea aina simu lakini kwa nyingi.

Nenda kwenye settings ->Safety and Emergency -->Emergency contacts->add number hapa.

Inaweza kumsaidia mtu mahali
 
Kumbe! unaweza ukafanya settings kwenye simu yako, ukaweka baadhi ya namba za watu muhimu kwako kwenye emergency numbers, kiasi kwamba mtu anakuwa hahitaji password ya simu yako kumpigia huyo rafiki au ndugu yako kumpa taarifa...
Somo zuri, ila ni wachache wenye moyo na dhamira ya dhati kuwasaidia wahanga wa ajali, wengine huzifanya ajali ni fursa
 
Hii ipo kwa sana kwenye simu za Samsung
1.Mimi nimeweka emergency numbers,za wazazi wangu na watu wangu wa karibu.
2.Blood group
3. Allergies ambazo ninazo

Hizi details mtu anaweza kuziona simu ikiwa locked.

Changamoto ya hii settings ni moja tu, watanzania wengi sio waaminifu unaweza ukaibiwa simu mtu akatumia hizo emergency numbers kutapeli.
 
Sumsung wako vizuri sana kwa huduma za emergency kama hivyo.

Kuna nyingine wanayo unachagua kwamba ile power button ukipress mara 3 mfululizo inatuma msg kwenye contact uliyoseti wewe halafu inaambatanisha na location uliyopo.

Hata kwenye setting za wenye mahitaji maalum kama wasioona na viziwi hawako mbali.
Hawataki uanze kuhangaika kudownload ma-app, wao wenyewe wameshakutengenezea pa kuanzia kwenye mipangilio mumo humo.
 
Good and thank you for sharing, watu wengi hatujui kutumia features muhimu kama hizi..
 
Hii ipo kwa sana kwenye simu za Samsung
1.Mimi nimeweka emergency numbers,za wazazi wangu na watu wangu wa karibu.
2.Blood group
3. Allergies ambazo ninazo

Hizi details mtu anaweza kuziona simu ikiwa locked.

Changamoto ya hii settings ni moja tu, watanzania wengi sio waaminifu unaweza ukaibiwa simu mtu akatumia hizo emergency numbers kutapeli.
Details za muhimu sana, unaweza kuelekeza jinsi ya kuziset?

Pia ni kweli watanzania wengi uaminifu unazidi kuisha, ila bado wapo wenye nia njema, mimi nilishawahi kushuhudia ajali mbele yangu, mama mmoja aligongwa akazima, hiyo hiyo gari ikatumika kumwahisha hospital, kimbembe kikawa namna ya kujulisha ndugu zake.
Ikabidi tuitoe line yake tuiweke kwenye simu nyingine tuanze kujaribu zile namba zilizosaviwa kwenye line.
 
Happy union day everyone!

Leo nimewaza hiki kitu nikaona si vibaya kushare kinaweza kumsaidia mtu mahali.

Hivi ulishajiuliza incase umepata emergency yoyote mahali, ikatokea hujielewi, watu watakusaidiaje?

Mfano, umepata ajali, au umepoteza simu yako.

Maana simu zetu muda wote zinakuwa na passwords kila mahali, so mtu mwenye nia ya kukusaidia atakuwa amebaki na simu yako akisubiria ipigwe ndo atoe taarifa flan... Imagine

Kumbe! unaweza ukafanya settings kwenye simu yako, ukaweka baadhi ya namba za watu muhimu kwako kwenye emergency numbers, kiasi kwamba mtu anakuwa hahitaji password ya simu yako kumpigia huyo rafiki au ndugu yako kumpa taarifa.

Unafanyaje?
Inategemea aina simu lakini kwa nyingi.

Nenda kwenye settings ->Safety and Emergency -->Emergency contacts->add number hapa.

Inaweza kumsaidia mtu mahali
Barikiwa sana mwongozo useful kabisa huu!

Cc Smart911
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom