Street Hustler
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 2,148
- 4,211
Ushauri wa bure na rahisi atumie Dettol ya maji apake kwenye muwasho hii n dawa na tiba kwa wenye fangasi nje ya mwiliHabari madokta wa jamii.leo naomba kusaidia jambo Nina rafiki angu anaumwa sana fungus.
Imeanza miaka mitatu iliyopita,ulianzia kwenye korodani na Sasa Iko kwenye njia ya mkojo. Ametumia dawa nyingi sana na mbaya zaidi madaktari wamekuwa wengi na wamempa dawa nyingi na masindano ya kutosha kiufupi tatizo limekuwa chronic.
Anaomba msaa wa nn Cha kufanya kwani kwenye korodani bado zina msumbua na ndani ya uume zinamsumbua sana na muda mwingine hata uume wake unakuwa mwekundu.
Dawa alizotumia ninzokumbuka ni karibia zote zinazojulikana.ombi afanye nn au kama Kuna dawa ambayo ni ya kuaminika zaidi msaada plz