PSSSF imeshindwa kulipa pensheni za wastaafu. Wengine sasa ni zaidi ya mwaka hawajalipwa

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,822
74,998
Kila wakienda wanapigwa danadana bila maelezo ya kueleweka. mwaka mzima, wengine miezi 4, 5, 6 etc etc.
Waziri mwenye dhamana ni nani?

Nina uhakika anajua hilo, na habari za ndani ni kuwa wamefilisika hawezi lipa mafao ya wastaafu kama lumpsum, na malimbikizo ya kila mwezi kwa ambao tangu wastaafu hawahajawi kulipwa.

RAIS SAMIA INGILIA KATI

Pia soma
 
Serikali inanunua kwanza Mav 8 ya Wakuu wa WILAYA hao WASTAAFU wasubiri kwanza
 
Nafikiri kuna kitu hakipo sawa kwenye uendeshaji wa hii mifuko
Chukulia mfano KENYA ambao wapo serious na uendeshaji wa mifuko yao. Wafanyakazi wa Serikali huchangia 5% na private 10% wakati huku Tanzania tunachangia mara mbili yao halafu kikokotoo chetu ndio kimekuwa cha mawazo kuliko cha kwao wanao changia nusu yetu.

Nafikiri wakitaka mifuko (PSSSF & NSSF) inufaishe wastaafu, waanze kuhakikisha
1. Hela zilizokopwa kwenye mifuko zinarudishwa (hata kwa awamu hadi ziishe)
2. Miradi ya hovyo hovyo (mf; majumba/magorofa ambayo hayana tija) yauzwe hela irudi kwenye mifuko japo kwa gharama za uchakachuaji za hiyo miradi huenda tukaishia kupata nusu yake.
3. Wawekeze kwenye miradi yenye tija na gharama ziwe halisi. Kuna magorofa niliona Arusha barabara ya Kijenge yapo barabarani hata sijui walipataje kibali cha kujenga hapo wakati miaka 10 ijayo barabara inaweza kupanuliwa na hayo magorofa ya mabilioni kushuka dhamani
4. watumishi wa hiyo mifuko wanaojikopesha hela bila riba huku wenye mifuko wakiteseka wachukuliwe hatua

Wakifanya hayo; kulipa wafanyakazi 50% ya mafao na kuendelea kuwalipa pension ya kueleweka inawezekana...
Mbona tunakopy na kupaste vitu vya ulaya LAKINI hatukopy vikokotoo vyao???
 
Nafikiri kuna kitu hakipo sawa kwenye uendeshaji wa hii mifuko
Chukulia mfano KENYA ambao wapo serious na uendeshaji wa mifuko yao. Wafanyakazi wa Serikali huchangia 5% na private 10% wakati huku Tanzania tunachangia mara mbili yao halafu kikokotoo chetu ndio kimekuwa cha mawazo kuliko cha kwao wanao changia nusu yetu.

Nafikiri wakitaka mifuko (PSSSF & NSSF) inufaishe wastaafu, waanze kwanza kuhakikisha
1. Hela zilizokopwa zinarudishwa (hata kwa awamu hadi ziishe)
2. Miradi ya hovyo hovyo (magorofa ambayo hayana tija) nk yauzwe hela irudi kwenye mifuko japo kwa gharama za uchakachuaji za hiyo miradi huenda tukaishia kupata nusu yake.
3. Wawekeze kwenye miradi yenye tija na gharama ziwe halisi. Kuna magorofa niliona Arusha barabara ya Kijenge yapo barabarani hata sijui walipataje kibali cha kujenga hapo wakati miaka 10 ijayo barabara inaweza kupanuliwa na hayo magorofa ya mabilioni kushuka dhamani
4. watumishi wa hiyo mifuko wanaojikopesha hela bila riba huku wenye mifuko wakiteseka wachukuliwe hatua

Wakifanya hayo; kulipa wafanyakazi 50% ya mafao na kuendelea kuwalipa pension ya kueleweka inawezekana...
Mbona tunakopy na kupaste vitu vya ulaya LAKINI hatukopy vikokotoo vyao???
chadema lisemee hili jambo . wastaafu hawajalipwa wengi mfao yao. Erythrocyte please lisemee kwa nguvu. Ni karata nzuri ya kuwasaidia watu na kujjenga imani na chadema.
Kikokotoo mmekiwakilisha vema na mfano wa askari.
 
Mwakani wabunge watachukua milion Mia tatu Mara bunge likiisha, walilofanya kazi miaka 38 wanazungushwa kwa milioni 38. Halafu MTU akiongea utamsikia akisema ' namshukuru mkuu wa wilaya/mbunge kwa kulivalia njuga swala la mafao'
Where is the fairness?
Milioni 300 kwa miaka 5
Milioni 38 kwa kulitumikia taifa Mika 38 kwa uadilifu uliotukuka.
 
Back
Top Bottom