Picha zifundishazo

Wivu, fitina na roho mbaya zimewajaa watu wetu
Mno watu wanaogopa sana kutambua mchango wa watu wengine kwenye kupambana kuimarisha kitu.
Binafsi Hilo wazo lilikuja baada ya kuwaona wale wanafunzi wakifyeka vichaka na kuwasaidia mafundi kujenga shule jua kuwa Hawa wanafunzi wote wangeweza kuhamia shule nzuri maana Wana haki hiyo ila waliamua kuanzisha shule kwa maumivu makali binafsi nilipewa option ya kwenda shule iliyokamilika nikasema hapana nataka kuwa hapa.
Nenda kwenye taasisi nyingi kitu pekee utakuta ni jina la aliyezindua na sio waliopambana kujenga jina la taasisi husika kwa namna hiyo hatuwezi kuwa na historia iliyo sahihi
 
1714199233531.jpg


KAMA ULIKUWA HUJUI. ....

Kwa siku moja,.. Shirika la reli la india linasafirisha zaidi ya abiria Milioni 25

Ni sawa sawa na kuwasafirisha wakazi wote wa jiji la Daresalaam, ... Jiji la Tanga, .... Jiji la Mwanza, ..... Jiji la Arusha,... Jiji la Mbeya, ....Jiji la Dodoma,

Kisha jumlisha Raia wote wa Zanzibar , Raia wote wa Nchi ya Comoros, Raia wote wa Nchi ya Djibouti ...Raia wote wa Nchi ya Lesotho, .....

Kisha kajumlishe wakazi wote wa mkoa wa Kagera na mkoa wa pwani

Ndio unapata idadi ya abiria wa wanaotumia treni kwa siku moja
 
If milk gets bad, it becomes yoghurt. Yoghurt is more valuable than milk. If it gets even worse, it turns to cheese. Cheese is more valuable than both yoghurt and milk. And if grape juice turns sour, it transforms into wine, which is even more expensive than grape juice. You are not bad because you made mistakes. Mistakes are the experiences that make you more valuable as a person. Christopher Columbus made a navigational error that made him discover America. Alexander Fleming’s mistake led him to invent Penicillin. Don’t let your mistakes get you down. It is not practice that makes perfect. It is mistakes we learn from that makes perfect!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom