Akili kubwa ametumia mtumishi wa Mungu kwenye hili la kikokotoo.
=====
Pastor Daniel Mgogo: Kabla mtu hajastaafu apewe chake, siku ile anasaini fomu ya kwamba nimestaafu, muamala umesoma.
Kuna hii mbinu wanasema tukiwapa zote wanatumia vibaya, sasa kwani mtu akinywea zote nyie shida yenu nini? Mtu akipewa akahonga zote, si ndio akili yake ilikomtuma, sasa mnaposema tunamtunzia!!
Yaani vitu vingine jamani, yaani mshahara nifanye mimi halafu nyinyi mnaogopa eti tukikupa zote mtatumia vibaya, nyinyi ni nani kwanza? Ni nani kwenye maisha yangu mimi? Mpaka mseme mnanitunzia mimi, kwahiyo inamaana muda wote mliofanya kazi na mimi, nilifanya kama zezeta, zuzu ambaye sijitambui!