1979Magufuli
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 458
- 1,830
Nimefurahi sana leo, shabiki wa Simba Pasi Milioni ametishia kumburuza mahakamani aliyekuwa kocha wa Simba Benchika kwa madai kuwa alitaka kuua vipaji vya akina Edwin Balua, Karabaka, Duchu na Chasambi.
Pasi Milioni amedai katika hati ya madai yake mbele ya waandishi wa habari pale uwanja wa Chamazi kuwa Benchika pamoja na CV yake kubwa lakn bado alishindwa kuwaamini vijana na kung'ang'ania wachezaji waliochoka.
Pasi Milioni amedai kuwa aliingia katika mzozo na Benchika baada ya kuona haeleweki kwa misimamo yake isiyokuwa na faida kwa timu.
Pasi Milioni amedai Mgunda amewaamini vijana na wamempa matokeo jambo ambalo Benchika na elimu yake ameshindwa.
Pasi Milioni amedai Simba imefeli kwa sababu ya Benchika na kama tungekuwa na Juma Mgunda leo tungecheza fainali ligi ya mabingwa.
Pasi Milioni amedai Mgunda anatupeleka nafasi ya pili katika safari ya matumaini ya kusadikika.
Kila la heri Pasi Milioni na harakati zako za kumshtaki Benchika.