Fazzah5x
Member
- Aug 10, 2022
- 83
- 131
Habari za leo wana jf mimi ni kijana wa miaka 26 nimejitafuta kwa muda na kwa sasa nashukuru mungu niko tayari kwa ajili ya ndoa,na kifamilia na kimatunzo pia
hivyo basi naomba kufahamu kama kuna binti naweza pata humu kwa ajili tufanye maandalizi ya ndoa bila kupotezeana muda
SIFA ZA BINTI KWA UFUPI
1-awe mwaminifu
2-awe na heshima
3-awe mvumilivu
*kigezo cha ziada>ukiwa bikra itapendeza zaidi,kwa sababu hata mimi sijawahi kukutana na mwanamke kimwili
#nawasilisha.